SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,077
- 13,935
Penzi jipya bhaana!
Kuna wakati unahisi limekuja special from Heaven, na kuna wakati huamini katika kuachana na huona wanaoachana hawajui kupenda!!!!!
Jitahidi sana, usilewe ukajisahau na kuanza kudharauliana.
Nguvu ya upendo wenu elekeza kulilinda pia penzi lenu ili adui wasipate mlango.
Mkiruhusu adui atawatafuna na kutafuna upendo wenu.
Msichukue muda mrefu sana bila kuoana.
Sent using Jamii Forums mobile app