Salaam wakuu,hivi kwa wale waliochaguliwa SUA wanatakiwa wafike chuo lini?

Salaam wakuu,hivi kwa wale waliochaguliwa SUA wanatakiwa wafike chuo lini?

Salaam wakuu,hivi kwa wale waliochaguliwa SUA wanatakiwa wafike chuo lini?
...asante bhana!....mekupata pamoja sana!...ila third round application umeisikia?TCU mwaka huu bhana!duh...
Asante swahiba,me naenda kupiga BSc WILDLIFE!
Nimepitia, inanionyesha ni 24 of october.
popeye,usiwe na kihoro,watakutumia joining instruction. ila andaa jembe na fyekeo (nakutania mwaya). hongera kwa kupata chuo. kila la kheri
hahahahahaa!!!

huwa Sua hawatumi joining Instruction. Ila pitia web yao wametoa maelezo fresh. Kama kuna tatizo we ni Pm, nimemaliza sua, so nakifahamu fresh.

...asante bhana!....mekupata pamoja sana!...ila third round application umeisikia?TCU mwaka huu bhana!duh...

Hoooongeeeeera jembeee?!! Vp dogo wangu mbona unapapenda sana hapo morogoro.? Toka kule mahenge kwa kimbunga mpaka kilosa kwa wakaguru?

hahahahahaa!!!

haya bana!!

karibun Sua 1st yr wetu ndani ya Mazimbu.

shukrani kwa ukarimu wako,tutakaribia