excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,449
- 17,918
vunjajungu... Be mwagito....!!!
tatizo ni nini mpaka hawa watu wanakula mbwa ambaye ni mlinzi wetu? historia inasemaje hapo?
vunjajungu... Be mwagito....!!!
nimecheka sana hiyo picha ya pili kama kabeba mgonjwa vile,hahahaaaaaaaa
Hahahahaaaaaaaaaaaaaaa,ilmu haizi hatari unajua kuwa na udenda unatoka kina kingine au ni hicho tuHahahahaaa ni ilmu tu kaka
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaah, mkuu mbona umepaniki hivi, hata mizaha hujui!
Nawatetea majirani zangu hawakawii kujinyonga. Siku hizi nimehamia Njombe.