Kalu20
Senior Member
- Aug 20, 2014
- 191
- 100
Imenona balaaa hadi denda limenitoka wallah
Pole itafute hiyo hapoooo
Imenona balaaa hadi denda limenitoka wallah
Ha ha ha,shekeli lazima nile bana,mali za kutoka mkoa ule ni waaminifu sana,wanajituma kufanya kazi kama wanaume vile,lazima nidai changu mapemaaa,au ulidhani hana kaka kwao??MALyusajr unataka kujenga mazingira ya kula shekeli yangu eeh
Ha ha ha,shekeli lazima nile bana,mali za kutoka mkoa ule ni waaminifu sana,wanajituma kufanya kazi kama wanaume vile,lazima nidai changu mapemaaa,au ulidhani hana kaka kwao??
Makaka, wajomba na babamdogo wa kukutana dalisalama wapigaji tu
Simtaki mpaka nihakikishe vinasaba vyenu vinashabihiana kwa asimia mia kwa mia
Kwani me mnyalu bana?
Ndiyo ni ukanda mmoja but wanyaki hatupigi hizo mambo loooooohsi mmetoka hyo kanda??
Samahani, hivi mna undugu na wachina
View attachment 192936ndio supu tayar
Nasikia huwa kuna tabia unarithi unapotumia hiyo kitu.Yaani mlinzi mwaminifu mnamfanya kitoweo?
kwani wewe unaunasaba nao?Kutoa udenda?
Hili swali umeuliza ukiwa na viroba vingapi kichwani?
Watu weusi kama mkaa tutakuwaje na udugu na wachina?
Upumule uveve!!!!!