Kwa wale ndugu zangu wa Iringa

Kwa wale ndugu zangu wa Iringa

Wanachonifurahisha Zaidi Ni Kwamba Dada Zetu wa Huu Mkoa Hawakupi KIGEGEDO a.k.a PAPUCHI Hadi Umpige Mtama Na Wamenipa Sana Makovu Ya Ugoko na Magotini. Unatakiwa Ufanye Kama Vile Wale Wacheza SUMO!

Hivi hizi habari zina uhalisia?
 
Wanachonifurahisha Zaidi Ni Kwamba Dada Zetu wa Huu Mkoa Hawakupi KIGEGEDO a.k.a PAPUCHI Hadi Umpige Mtama Na Wamenipa Sana Makovu Ya Ugoko na Magotini. Unatakiwa Ufanye Kama Vile Wale Wacheza SUMO!
Zingekuwa zinatolewa zawadi za kucheka wallah leo ningepata...khaaa raha sana
 
Asili ya hawa jamaaa ni kufuga wooo wooooo kwa malengo ya uwindaji wanyama pori zaidi, nilishudia wakiwa porini Ihefu wakifukuza kiboko na walipomdaska kijiji kizima kilikula nyama yake aiseee
 
wina luhala veve mbufi hege
 
Hahaaa hebu muwawache wapumue hawa majirani zangu. Namshukuru Mungu tumegawana mikoa....enzi hizo ukisema natokea Iringa utasikia ndo ninyi mnakula mbwa? Aaargh.....nilikuwa nakereka kweli

Afadhari tumetengana maana zamani ukitaja iringa tu basi inaongoza kwa ngoma (UKIMWI) kumbe njombe walikua wanatuponza. hongereni saizi ni namba one kwa ngoma (NJOMBE)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom