Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,626
Heaven Sent wewe si mla mbwa?
Last edited by a moderator:
anapelekwa hospital
Tatizo miss chagga hao wadudu zao zinakuwaga na fundo sasa akihemkwa hapo na yupo mgongoni kwa jamaa na mbaya zaidi ipenye rear exit sijui nini kitatokea wallah
Matus matam ujue
Matus matam ujue
Kiruuuuuuuuuuu unanichokoza eeh..???Heaven Sent wewe si mla mbwa?
Mtuwacheeeeeeeeee!!
Aaagh,
Weka na za wachina basi!
KHeee bhee,kumbe Khantwe tunatoka sehemu moja kule mkoa wa asali na maziwa??? Basi kuna wengi wa kuwadai mahali humu nikianza na Mshana jr,hujifanya shemej shemej sanaaHahaaa hebu muwawache wapumue hawa majirani zangu. Namshukuru Mungu tumegawana mikoa....enzi hizo ukisema natokea Iringa utasikia ndo ninyi mnakula mbwa? Aaargh.....nilikuwa nakereka kweli
KHeee bhee,kumbe Khantwe tunatoka sehemu moja kule mkoa wa asali na maziwa??? Basi kuna wengi wa kuwadai mahali humu nikianza na Mshana jr,hujifanya shemej shemej sanaa
Kiruuuuuuuuuuu unanichokoza eeh..???
Kwani me mnyalu bana?Kwani unakula au huli??
View attachment 192936ndio supu tayar