Kwa wakazi wa mwanza

Kwa wakazi wa mwanza

Oooh nimeshafika!

my lawyer ndo nini kutaka kunîbania. mwenzio nshamuomba kuwa mwenyeji wake ili nionje zawadi za miss chit chat. . .
we Ciello ina maana hujafika tu?
 
Last edited by a moderator:
Bado shosti ndo naingia geita mtandao nao unazingua!
my lawyer ndo nini kutaka kunîbania. mwenzio nshamuomba kuwa mwenyeji wake ili nionje zawadi za miss chit chat. . .
we Ciello ina maana hujafika tu?
 
Last edited by a moderator:
Msaada tafadhali; Ni maeneo yepi mwanza zinapatikana huduma hizi: uuzaji wa pamba za ukwee, quality salon na viwanja vya kula bata vya ukwel?

Nami natinginga Rock City muda si mrefu Hebu nipe contact ili tuwasiliane nikupe timetable ya viwnja tutakavyo tembelea Ciello
 
Ciello mamie, mbna kimya. umefichwa na shem nini?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahah cyo hivyo shosti uchovu wa safari ulinifanya nilale more than 8hrs,bt nilifika tbr salama,thanx 4asking!!

chonde chonde! Usiache kwenda Magu kuwatembelea watoto waliotelekezwa na Mr Rocky. Alimpakazia Erickb52 alipoenda huko lakini haikusaidia! Watoto wametelekezwa hadi leo. Hata Arushaone alipoingilia kati haikusaidia. Watembelee tu uwafariji angalau wajue kuna watu wanawathamini. Lol...
 
Mweee Filipo mbona wanipa jukumu zito hivyo? Kila mtu abebe msalaba wake lol hata Madame B, lara 1, snowhite et al wanalijua hilo!!

Back
Top Bottom