Kwa wakazi wa mwanza

Kwa wakazi wa mwanza

Nafikiria ni njia gani nitumie kukuwahi pande hizo za mwanza....si ukae mpaka X-mass iishe
 
hahahaa. pole Buswelu, naona ushaanza kudata kwa miss wetu. kwa hilo umechemka hawezi kusubiri mpaka x-mass iishe couz me kama mwenyeji wake nafahamu ratiba yake! hivyo basi wewe mconvice arudi tena mza baada ya x-mass ukiwepo!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah mwenyeji wangu bana ndo niko runzewe naja!
hahahaa. pole Buswelu, naona ushaanza kudata kwa miss wetu. kwa hilo umechemka hawezi kusubiri mpaka x-mass iishe couz me kama mwenyeji wake nafahamu ratiba yake! hivyo basi wewe mconvice arudi tena mza baada ya x-mass ukiwepo!!!!
 
Last edited by a moderator:
..pouwa..mie huwa nakuja mara chache chache sana huko..nitakutafuta..hahahahahaha..

karibu sana, sie wasukuma wa mwanza huwa ni wakarimu sana kwa wageni. muulize Erickb52 atakuhabarisha!!!!
 
Last edited by a moderator:
Shukrani,bt kunapatikana huduma gani huko erickb52

ha haa ha, Kisesa ni nje ya mji kama Kimara kwa Dar.

Nenda Mwanza Mjini maeneo ya Uhuru Deluxe Hotel, Nkuruma, Makoroboi, Lumumba, Bantu. Pita hiyo mitaa.
 
Last edited by a moderator:
Thanx mkuu
ha haa ha, Kisesa ni nje ya mji kama Kimara kwa Dar.

Nenda Mwanza Mjini maeneo ya Uhuru Deluxe Hotel, Nkuruma, Makoroboi, Lumumba, Bantu. Pita hiyo mitaa.
 
wanakuzingua tu vijana wa mujini utawapata ukumbi wa disco wa Gold Crest
 
Nta kusubiri stand kukupokea!
 
Back
Top Bottom