CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Ulegezwe mwenyewe. Kwan yule sio jaluo? Kwa hyo na wewe utaenda US?
me ntalegezwaje thatha? btw me ntasheherekea hukuhuku! yan ntanywa mpk cheee, wapi ndyofu!!!!!!
Ulegezwe mwenyewe. Kwan yule sio jaluo? Kwa hyo na wewe utaenda US?
kumbe leoleo? Ukifika ntafute twende chimbo

chimbo kufanyani???? Ciello stuka bibie, mwanza pia kuna msitu wa MABWEPANDE ooh, angalia asije akakuulimboka huyo!
Hawezi nipeleka chimbo kwani nina bodigadi aseee, ajiangalie...
Ntakutafuta nikija bongo!
Hawezi nipeleka chimbo kwani nina bodigadi aseee, ajiangalie...
Kijana acha kuchakachua sred nahitaj mainfo ya mwanza lol
Chmbo kula bata mpaka kuku waandamane
Wako wawil halafu wanafahamu kazi yao vyema
Bhanaeeh nenda bookshop nunua guide book chapika khaa! tangu mapema charminglady keshachukua jukumu, tusibonge na Nicas Mtei kisa sredi?
chimbo kufanyani???? Ciello stuka bibie, mwanza pia kuna msitu wa MABWEPANDE ooh, angalia asije akakuulimboka huyo!
Chmbo kula bata mpaka kuku waandamane
Bhanaeeh nenda bookshop nunua guide book chapika khaa! tangu mapema charminglady keshachukua jukumu, tusibonge na Nicas Mtei kisa sredi?
mh,mabwaku! mpk kuku wataandamana hyo kali. . . haya kila la heri bi Ciello na Nicas Mtei. . .