Kwa wakazi wa mwanza

Kwa wakazi wa mwanza

Nicole

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2012
Posts
4,274
Reaction score
2,523
Msaada tafadhali; Ni maeneo yepi mwanza zinapatikana huduma hizi: uuzaji wa pamba za ukwee, quality salon na viwanja vya kula bata vya ukwel?
 
Hata tukikujuza utaelewa ?
Unalijiua vizuri hili jiji ?
 
Achana nao Ciello si unaona wanaanza nyodo? Njoo rudi home likizo umalizie huku na ukitaka Nairobi waweza kwenda shopping na ukapata pamba za kudanja m2 na vi2 vingine vya leo leo kama ilivyo Arusha, njoo rudi nyumban mwaya.
 
Last edited by a moderator:
Miss chitchat kaanza ziara za mikoani, hurrreeeeyyy!!!
Mwanza gold crest kuna open restaurant level 8, iko safi sana. Kunakuwa na live band na chai ya masala, lol. Thamaki wa kuchoma villa park unakomeshea, hips za thamaki kubwa kuliko za miss chit chat.

Pamba sijui mwaya. Ila kuna mtaa flani una viatu vya ukweee, sio mbali na gold crest. Utakoma mwenyewe.
 
Wow thanx ntapita huko ila the last timy nilipita villa sikupapenda sana nataka sehemu wanapojimix vijana, kwenye viatu ntapita thanx sana ubarikiwe KINGA'sti!
Miss chitchat kaanza ziara za mikoani, hurrreeeeyyy!!!
Mwanza gold crest kuna open restaurant level 8, iko safi sana. Kunakuwa na live band na chai ya masala, lol. Thamaki wa kuchoma villa park unakomeshea, hips za thamaki kubwa kuliko za miss chit chat.

Pamba sijui mwaya. Ila kuna mtaa flani una viatu vya ukweee, sio mbali na gold crest. Utakoma mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Arushaone ntarudi chuga ngoja nisafishe macho,vp baridi ipo chuga?
Achana nao Ciello si unaona wanaanza nyodo? Njoo rudi home likizo umalizie huku na ukitaka Nairobi waweza kwenda shopping na ukapata pamba za kudanja m2 na vi2 vingine vya leo leo kama ilivyo Arusha, njoo rudi nyumban mwaya.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe kanidanganya bt nina mwenyeji sema ni mwanaume yuko bize and hajui places za kupata pamba za women
Ni kosa la jinai kum-mislead mtu anayeomba mwongozo Erickb52! Adhabu yake ni kunyweshwa NDOFU kwa nguvu mpaka ulewe. Na watu wote waseme AMINA..
 
Last edited by a moderator:
Ni kosa la jinai kum-mislead mtu anayeomba mwongozo Erickb52! Adhabu yake ni kunyweshwa NDOFU kwa nguvu mpaka ulewe. Na watu wote waseme AMINA..

Ngoja na mimi nimpotoshe ili hiyo ADHABU inihusu pia,kumbe ndo adhabu zenyewe ziko hivi
 
Last edited by a moderator:
Msaada tafadhali; Ni maeneo yepi mwanza zinapatikana huduma hizi: uuzaji wa pamba za ukwee, quality salon na viwanja vya kula bata vya ukwel?

Miss umeanza kula bata na kupga safari kama mzee wa kaya? hautaenda US kumpongeza jaluo?
 
Back
Top Bottom