Kwa wakazi wa mwanza

Kwa wakazi wa mwanza

Hahahah haswa, vp mzima weye?usa lazima nitie time

Na USA iko hapa hapa chuga nauli shs 500! United States of Arusha! We have everything here! Aren't we Ciello?
 
Last edited by a moderator:
Yah nko fine, maisha yenyewe mafupi we live onc so kuwa kama vasco dagama now an then si mbaya Madame B hajambo? Nimemisijeee
Hahaha. Usije geuka pilot kama naniliu. Mi ni mzima kabisa.. Umeamka poa?
 
Last edited by a moderator:
Msaada tafadhali; Ni maeneo yepi mwanza zinapatikana huduma hizi: uuzaji wa pamba za ukwee, quality salon na viwanja vya kula bata vya ukwel?

Dah,hivi nlikuwa wapi cjauona huu uzi. . . Miss wetu shaka ondoa wenyeji tupo sana, we ukifika tupm tukupokee. . . wapi mashost beibe nasty na Elizabeth Dominic kuna mgeni hapa!
 
Last edited by a moderator:
Yah nko fine, maisha yenyewe mafupi we live onc so kuwa kama vasco dagama now an then si mbaya Madame B hajambo? Nimemisijeee

Kweli miss. Lazma kujiachia. Ila usisahau kuwa umekabidhiwa taji.. Madame B i hope yupo cool. Niltok naye jana. Kama kuko na tatizo 2ngejua.....
 
Last edited by a moderator:
Shwari kamanda. Ndo huyo huyo Mr Pilot... Najua kuwa mda huu anaandaa safari ya kwenda kwenye inauguration ceremony ya Jaluo.

we Nicas Mtei tena shndwa na ulegezwe, yan unamuita jaluo? hebu mpe heshima yake bana. hujui kwanza ni mjombaangu?
 
Last edited by a moderator:
Ok charminglady shosti nahitaj idea zako ktk niliyoyasema....

hapa shaka ondoa kipenzi, ukifika tu just pm me mama ya rock city. . . . kila chochoro tapelekwa, achana na hao wanaokuelekeza sehemu ambazo hata hawajawahi kufika bali wanapasikia tu!
 
Last edited by a moderator:
Nilitaka nije leo bt kuna kamvua huku niliko so nachek hali ya hewa kwanza
we Erickb52 mbna unamislea mwenzio. au una mning'inio wa ndyofu pamoja na kuwa ulisema umeacha. afu nambie haraka unakuja lini huku!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom