Kwa wadada wa JF... Mzigo mpya umeingia

Kwa wadada wa JF... Mzigo mpya umeingia

Unaweza kula hasara. Kuna uzi nilipita nikaona watu wanasifia kuvaa boxer siku tatu hadi week bila kubadilisha

Dooh asante kwa angalizo. Itabidi nianze na semina elekezi kuwa ukivaa Boxer zenye nembo ya Kasie, hupungukiwi na nguvu za kiume bali zinaongezeka na unakuwa na mvuto.
Pia ukiivulia papuchi iliyoungua boxer inagoma kushuka hivo itakulinda na maangamizi hehehehehee.

Lugha ya biashara atanifundisha mchaga wangu Babu ODM Asprin.
 
Asante sana kuniunga mkono, nakupa like ya malove love ila inagoma...

Sijui umeloki watu wasikulaiki.... Hehehehee
Kutakua kuna mkono wa mtu hawataki mi nipate ma love kutoka kwa Kasie Matata mwenye Ma love yake.....

Tena ukizileta baadhi ziandike KASIE MALOVE
 
Kutakua kuna mkono wa mtu hawataki mi nipate ma love kutoka kwa Kasie Matata mwenye Ma love yake.....

Tena ukizileta baadhi ziandike KASIE MALOVE

Aahahahahaaa tayari nimeshakushushia malovedove .

Usijali mteja ni mfalme, ntakuwa pia natoa kutokana na matakwa ya mteja.

Matata K.
 
Jingine hilo
IMG_20190828_145124.jpeg
 
Dooh asante kwa angalizo. Itabidi nianze na semina elekezi kuwa ukivaa Boxer zenye nembo ya Kasie, hupungukiwi na nguvu za kiume bali zinaongezeka na unakuwa na mvuto.
Pia ukiivulia papuchi iliyoungua boxer inagoma kushuka hivo itakulinda na maangamizi hehehehehee.

Lugha ya biashara atanifundisha mchaga wangu Babu ODM Asprin.
Hii kwa lugha ya kibiashara inaitwa "Mwana unikome"...

Hizi boxer kabla hazijaingia sokoni lazima uzilete huku mlimani nizifanyie maombi. Ili atakayekiuka masharti ya uvaaji achague adhabu either awe shoga au abadilishwe jinsia awe anavaa bikini.

Boxer ya Kasie na iheshimiwe na wanamahaba wote... Nimesema mimi babu ODM nikiwa mlimani huku kwenye hatua za mwisho za novena.
 
Back
Top Bottom