Kwa wadada wa JF... Mzigo mpya umeingia

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,845
La kudangia
IMG_20190828_124529.jpeg
 
Hahahhaahhaaaa
Kiutani utani unaweza ukapiga hela.

Mi nataka ninunue mzigo wa boxer China na UK kisha naulebo Kasie na kuuza bongo.

Natumai wakaka wataniunga mkono kununua boxer nyingi nyingi hehebheheeee.
 
Mi wa kwanza kukuunga mkono Kasie
 
Hahahhaahhaaaa
Kiutani utani unaweza ukapiga hela.

Mi nataka ninunue mzigo wa boxer China na UK kisha naulebo Kasie na kuuza bongo.

Natumai wakaka wataniunga mkono kununua boxer nyingi nyingi hehebheheeee.
Unaweza kula hasara. Kuna uzi nilipita nikaona watu wanasifia kuvaa boxer siku tatu hadi week bila kubadilisha
 
Back
Top Bottom