Kwa wadada wa JF... Mzigo mpya umeingia

Kwa wadada wa JF... Mzigo mpya umeingia

Mwenzenu nina waza kwa sauti.
Hivi ikitokea cutelove akapokea huo uchawi kwa bibi yake, tutapona kweli wote tulio comment kwenye huu uzi wa Mshana Jr?
Mshana Jr hebu tuhakikishie ulinzi wako kwa kuwa na wewe ni "mtaalamu"
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
76000+7800=? Mg****a anisaidie hii maths mi kusolve sijiui +1 papuchii round[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwenzenu nina waza kwa sauti.
Hivi ikitokea cutelove akapokea huo uchawi kwa bibi yake, tutapona kweli wote tulio comment kwenye huu uzi wa Mshana Jr?
Mshana Jr hebu tuhakikishie ulinzi wako kwa kuwa na wewe ni "mtaalamu"
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23] mna ulinzi kama wote msijali kabisa you are all 100% guided
 
Back
Top Bottom