Kwa wadada wa JF... Mzigo mpya umeingia

Kwa wadada wa JF... Mzigo mpya umeingia

Hahahhaahhaaaa
Kiutani utani unaweza ukapiga hela.

Mi nataka ninunue mzigo wa boxer China na UK kisha naulebo Kasie na kuuza bongo.

Natumai wakaka wataniunga mkono kununua boxer nyingi nyingi hehebheheeee.
Leta boxer mama tujisitiri marungu yetu
 
Bora kujionea tu sisi wa mikoani
IMG_20190828_060310.jpeg
 
Hii kwa lugha ya kibiashara inaitwa "Mwana unikome"...

Hizi boxer kabla hazijaingia sokoni lazima uzilete huku mlimani nizifanyie maombi. Ili atakayekiuka masharti ya uvaaji achague adhabu either awe shoga au abadilishwe jinsia awe anavaa bikini.

Boxer ya Kasie na iheshimiwe na wanamahaba wote... Nimesema mimi babu ODM nikiwa mlimani huku kwenye hatua za mwisho za novena.


Wuuhuuuuu ndo maana nakupenda penda wewe Sam wangu baabaaa....

Nakulia lia wewe Sam wangu babaa....

Mmuuuahhhh bin malabuku zako hehehehheee.
 
Back
Top Bottom