Kwa wadada wa JF... Mzigo mpya umeingia

Kwa wadada wa JF... Mzigo mpya umeingia

Hahahhaahhaaaa
Kiutani utani unaweza ukapiga hela.

Mi nataka ninunue mzigo wa boxer China na UK kisha naulebo Kasie na kuuza bongo.

Natumai wakaka wataniunga mkono kununua boxer nyingi nyingi hehebheheeee.
boxa yangu iandikwe kassie....Ah thubutuuuu
 
Basi itawekwa jina lako au la mpenzi wako...
hapana..la mpenzi huyu ambae jua likizama anaeza kua wa mwingine

bora uweke langu..ila nalo halijakaa vizuri limekaa kiganga ganga sana

mi nadhani leta plain tu
 
Kwani mkuu wee ungetoa ngapi? Na mie niko Mwanza niambie ulipo nije. Ila utume nauli kama elfu 70 hivi
Nikimpata kama huyu [emoji39][emoji39][emoji39]walah nitapanda dau [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20190828-WA0181.jpeg
 
Back
Top Bottom