Kwa Wabongo ambao hawajawahi kuona Thika Road, tazameni hii video. Kisha mkome kupinga kuwa Kenya ina miundombinu nzuri kushinda Tanzania

Angalia hii ya Mombasa basi kamahutaki ya Nairobi

 
Uwezi kuifananisha bongo na kenya kwa upande wa balanala za lami.kifupi ni jumla ya ulefu wa balabala za lami ziliizopo tanzania ukiziamishia kenya basi kenya nzima kutakuwa hakuna balabala za vumbi.madeleva mnaweza kuwa mashahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingwedu umeuaaa! Sijui utatatoa video yako nyingine lini tukuone na vibwanga vyako 'balabalani' ukiwa umejipaka masizi usoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…