Kwa video hii, mwendokasi uwe na sehemu tofauti ya wanawake na wanaume

Hapo nimeona vitu viwili vya kushangaza:-

1. Jamaa ana pete ya ndoa means ameoa ,inakuwaje anakua dunga dunga? Ina maana mkewe hajui majukumu yake?

2.Ushirikiano wa huyo dada yaani hana wasiwasi pamoja na kuwekewa dudu la yuyu kwenye kishundu.
 
Back
Top Bottom