Pombe na Wanawake ni Sababu ya kutoendelea Kwa wanaume wengi

Amos David Mathias

JF-Expert Member
Sep 3, 2022
1,574
3,030
Mwanzoni unapoanza kutumia pombe na kutoka na wanawake inaonekana ni tabia kama ya kujipooza mwili na kustarehe lakini baadaye unapoamua kuoa na kutulia biIla kutumia pombe au kutoka na wanawake wengi unagundua huwezi kuacha.

Akili na roho Inataka lakini mwili hautaki unagoma. Ndiyo pale watu wanapoamua kuhalalalisha uzinzi uonekane ni wa kawaida kwenye maisha haya.

Nachokiri ni kwamba Bora Tena ya pombe, kuendekeza wanawake ndiyo kunaweza kukufanya uwe maskini wa kutupwa. Mshahara utapata, biashara utafanya lakini pesa zote unazopata zitaishia kulala na kila aina ya wanawake.

Watu wengi wamekuwa watumwa wa ngono na hawajiwezi. Roho ya kikahaba imewajaa wanawake wengi na roho ya tamaa ya mapenzi imewajaa wanaume wengi.

Masaa 24 mtu anawaza ngono tu. Kwahiyo akipata pesa anaishia kuitumia kuifanyia ngono. Muda wote sehemu za Siri zinamuwaka moto Kila mwanamke au mwanaume mtu anamuona anawaza ngono kuhusu yeye.

Matokeo yake hutakuja wekeza chochote Cha maana. Nachosihi vijana ni Bora muoe tu kuliko kufanya mapenzi ovyo ovyo na Kila mwanamke unayemtamani.
 
Mwanzoni unapoanza kutumia pombe na kutoka na wanawake inaonekana ni tabia kama ya kujipooza mwili na kustarehe lakini baadaye unapoamua kuoa na kutulia BIla kutumia pombe au kutoka na wanawake wengi unagundua huwezi kuacha.

Akili na roho Inataka lakini mwili hautaki unagoma.Ndyo pale watu wanapoamua kuhalalalisha uzinzi uonekane ni wa kawaida kwenye maisha haya.

Nachokiri ni kwamba Bora Tena ya pombe kuendekeza wanawake ndyo kunaweza kukufanya uwe maskini wa kutupwa.Mshahara utapata ,biashara utafanya lakini pesa zote unazopata zitaishia kulala na Kila aina ya wanawake.

Watu wengi wamekuwa watumwa wa ngono na hawajiwezi.Roho ya kikahaba imewajaa wanawake wengi na roho ya tamaa ya mapenzi imewajaa wanaume wengi.

Masaa 24 mtu anawaza ngono tu.Kwahiyo akipata pesa anaishia kuitumia kuifanyia ngono.Muda wote sehemu za Siri zinamuwaka moto Kila mwanamke au mwanaume mtu anamuona anawaza ngono kuhusu yeye.

Matokeo yake hutakuja wekeza chochote Cha maana.Nachosihi vijana ni Bora muoe tu kuliko kufanya mapenzi ovyo ovyo na Kila mwanamke unayemtamani.
Kuna watu twapiga pombe na hizo mwanamke lakini maendeleo tuliyo nayo huwezi linganisha na babako mdogo🤣🤣🤣
 
Mwanzoni unapoanza kutumia pombe na kutoka na wanawake inaonekana ni tabia kama ya kujipooza mwili na kustarehe lakini baadaye unapoamua kuoa na kutulia BIla kutumia pombe au kutoka na wanawake wengi unagundua huwezi kuacha.

Akili na roho Inataka lakini mwili hautaki unagoma.Ndyo pale watu wanapoamua kuhalalalisha uzinzi uonekane ni wa kawaida kwenye maisha haya.

Nachokiri ni kwamba Bora Tena ya pombe kuendekeza wanawake ndyo kunaweza kukufanya uwe maskini wa kutupwa.Mshahara utapata ,biashara utafanya lakini pesa zote unazopata zitaishia kulala na Kila aina ya wanawake.

Watu wengi wamekuwa watumwa wa ngono na hawajiwezi.Roho ya kikahaba imewajaa wanawake wengi na roho ya tamaa ya mapenzi imewajaa wanaume wengi.

Masaa 24 mtu anawaza ngono tu.Kwahiyo akipata pesa anaishia kuitumia kuifanyia ngono.Muda wote sehemu za Siri zinamuwaka moto Kila mwanamke au mwanaume mtu anamuona anawaza ngono kuhusu yeye.

Matokeo yake hutakuja wekeza chochote Cha maana.Nachosihi vijana ni Bora muoe tu kuliko kufanya mapenzi ovyo ovyo na Kila mwanamke unayemtamani.
Kuna vitu vya kujifunza hapa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binadamu lazima uwe na maamuzi kwa maadhi ya Mambo yako, sii kila jambo likuendeshe ama ufanye kwa kuangalia mwingine.

katika mazingira yetu tumelelewa malezi tofauti, mwenzako akiwa na tabia tofauti na wewe usishangae usimhukumu kwani viumbe hatuna ufanano katika tabia.
 
Katika miaka yangu inayokaribia nusu karne hapa duniani, nimekuja kuhitimisha kuwa kuendelea ni baraka (kudra) tu za Mungu na mipango thabiti ya mtu aliyonayo (nayo pia inategemea na Mungu amekujaalia nn kichwani).

Sinywi pombe wala sio mtu wa wanawake (kwanza wananikatalia mbali huko), lakini kila nikikukuruka wapi! Wenzangu, wakiwemo na watoto wangu kabisaa wa miaka 2000 wanapiga hatua si mchezo.
 
Ukweli mtupu
 
IMG_3942.jpg
 
Nachokiri ni kwamba Bora Tena ya pombe, kuendekeza wanawake ndiyo kunaweza kukufanya uwe maskini wa kutupwa. Mshahara utapata, biashara utafanya lakini pesa zote unazopata zitaishia kulala na kila aina ya wanawake.
Mwanaume ukishinda huu uchawi hata ukiw ana kipato kidogo utaishi maisha toshelevu kabisa.

Wazee wetu na vijana wengi ambao wametelekeza Watoto na wake zao chanzo ni Wanawake na Pombe.
 
Katika miaka yangu inayokaribia nusu karne hapa duniani, nimekuja kuhitimisha kuwa kuendelea ni baraka (kudra) tu za Mungu na mipango thabiti ya mtu aliyonayo (nayo pia inategemea na Mungu amekujaalia nn kichwani).

Sinywi pombe wala sio mtu wa wanawake (kwanza wananikatalia mbali huko), lakini kila nikikukuruka wapi! Wenzangu, wakiwemo na watoto wangu kabisaa wa miaka 2000 wanapiga hatua si mchezo.
Imagine sasa kwa harakati zako hizo ungechanganya na Pombe na wanawake ungekuwa sasa hivi unashindia Gongo kama Lunch
 
Back
Top Bottom