so mwili mzima unapita?
Tanga Line. nina uhakika 200%Mdada wa mitaa ya north....based on my experience
Chaga tena Mmarangu!
WE koma wachaga hatuko hivyo:Cry:
Jamani, kila mtu kaulizwa uzoefu wake na hiyo picha... Na wewe ungetoa wako... Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini mwaJ anaweka passport size picha..??? au akina Fixed Point, MwanajamiiOne, charminglady, mimisa, Chocs, Mamndenyi, ladyfurahia, Heaven on earth, FirstLady1, Paloma hawa wote wamejiweka toka kifuani kwenda juu..?? Chezeya kalio weye...