Sijambomarahaba mdogo wangu, hujambo?
ha haaa, wadogo ndo wanapaswa kupita kwa wakubwa zaoSijambo
Nimekumiss siku hizi hata nyumbani hupiti tena kulikoni!!
Kwa Uzoefu Wako: No offense intended!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
![]()
Ntakuja jioni nilale huko my sisha haaa, wadogo ndo wanapaswa kupita kwa wakubwa zao
Hivi... ''siyo mdada''... nalo ni kabila.... Nakumbuka jinsi watu walivyokuwa wanafeli mashuleni kwa kutokufuata instrakshensi... Yaani hapa ushakula zeroHuyo siyo mdada
Ntakuja jioni nilale huko my sis
Kamani mchaga hawezi kuwa wa Marangu hicho kitakuwa kitu cha Uru mawela, Uru shimbwe kule kwenye nyumba za mabanzi aiseee. Kule kitu cha kifuani kuwa tumboni mbona ni kawaida na kitu cha kukalia kukosa sponji ni kawaida sana.Chaga tena Mmarangu!
Haaa huyu ni mama Minja wa KiborlonyiiKwa Uzoefu Wako: No offense intended!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
![]()
mi nadhani ana uhusiano na wahindi hivi...hiyo pasi imepitiliza aisee!!!
kwa uzoefu wako: No offense intended!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
![]()
Chaga tena Mmarangu!
Chocs, ukitoka huko kwa wifiyo Fixed Point, uje ulale kwangu wiki.....
Fixed Point, umjovela ganaga na akoto kuniletea loloha lela la kubela