kwani kuwa na shepu kama hiyo ni dhambi au kosa?
wenyewe mbona hatujalalamika?
cc. mwaJ, MwanajamiiOne, charminglady, mimisa, Chocs, Mamndenyi, ladyfurahia, Heaven on earth, FirstLady1, Paloma....
nimekusaidia kuwaita, maana sauti yako haikutufikia
Jamani, kila mtu kaulizwa uzoefu wake na hiyo picha... Na wewe ungetoa wako... Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini mwaJ anaweka passport size picha..??? au akina Fixed Point, MwanajamiiOne, charminglady, mimisa, Chocs, Mamndenyi, ladyfurahia, Heaven on earth, FirstLady1, Paloma hawa wote wamejiweka toka kifuani kwenda juu..?? Chezeya kalio weye...
kwani kuwa na shepu kama hiyo ni dhambi au kosa?
wenyewe mbona hatujalalamika?
cc. mwaJ, MwanajamiiOne, charminglady, mimisa, Chocs, Mamndenyi, ladyfurahia, Heaven on earth, FirstLady1, Paloma....
nimekusaidia kuwaita, maana sauti yako haikutufikia
Chaga tena Mmarangu!
sio vizuri hivo
Pole, tema mate nimáchape....
Jaamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....:Cry: