Kwa Uzoefu Wako: Dada Huyu Kabila Gani?

Kwa Uzoefu Wako: Dada Huyu Kabila Gani?

Usitukane wakunga na ww hujui yako yatakuwaje, Mungu ndo kamuumba hivyo hana budi kushukuriwa.
 
Huyo ni Mchaga, with no doubt!


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wanaomkosoa huyu hebu watuonyeshe wa kwao waliyemuumba tumwone tumlinganishe na huyo? Kwani wanaendaga Kariakoo kununua hayo makalio? Hakuna suala la wachaga wala nini. Kama ingekuwa hivyo hao viongozi wenu wote wangekimbilia kuoa uchagani? Mamiss wangapi wametoka uchagani? Wachaga bomba bwana acheni hayo mambo!!!!!!!!

Viongozi wao wote!! em funguka kidogo basi.
 
Nawaangalia tu.......nyie ongeeni weeeeeeee....... mkimaliza tutawajibu.......na wewe Boflo nimekuloweka na ariel......subiri nakuja kukusuuza........

haaa haa ha...kaanzisha vita vya mawe, I hope alishahama kwenye nyumba yake ya kioo.
 
Huyo ni Mchaga, with no doubt!


Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Huyo mbona ni Mwanaume wa Mombasa, wote humu ndani mliodhani ni demu nawaonea uruma. Duh Mngeingia mkenge na kujikuta choo cha babu!
 
mdada hapa ni kalio kwanza sura hata ikiwa ya p-nda kakitu una liwa tu!

kwani hujawahi kusikia makalio ya mchina.......
unakuta dada kajazia nyuma kumbe kitu na boksi......
hilo kalio linaweza kutafutwa tu!!!!!!!!!!!
 
Jamani tusifike huko hivi kuna kilema ni ukabila??? kwamba kilema hiki ni kabila fulani basi hata maalbino wangekuwa wanatokea kwenye kabila fulani tuuu :disapointed:
 
Chaga original,mchaga wa zaidi ya hapo ni mtumiaji wa dawa za chinese.
 
Back
Top Bottom