Kwa Uzoefu Wako: Dada Huyu Kabila Gani?

Kwa Uzoefu Wako: Dada Huyu Kabila Gani?

Nawaangalia tu.......nyie ongeeni weeeeeeee....... mkimaliza tutawajibu.......na wewe Boflo nimekuloweka na ariel......subiri nakuja kukusuuza........
Kheee...!! Umemloweka..???
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni Mchaga.
Wachaga siwapendi wanapenda hela na Matunzo huku vitu vitamu hawana.
Khaaaa
 
Huyo ni Mchaga.
Wachaga siwapendi wanapenda hela na Matunzo huku vitu vitamu hawana.
Khaaaa

So unawapenda nani? Waendana na jina lako ww chuki. So unataka kunambia mungu wachaga wote kawaumba ivo.? I hope km hujawapenda ww kuna wa kuwapenda kibaooooo. Utajibebaaa na chuki zako izo
 
Hiyo picha ni ya mtu mlemavu.. mtu wa kawaida hawezi kuwa hivyo. Halafu nawashangaa watu wanaowatania wachaga.. mimi kwa mtazamo wangu wachanga ni miongoni mwa makabila yanayoliremba Taifa la tz. makabila mengine ni kama wameru, wasandawe, wairaki, wapare, warangi, wasambaa, wazanaki, wangoni, waangaza mengine mtanisaidia..
 
Ivi ni wazi mkuu gani hajaoa mchaga vile....
 
Kudadadeki hapa haniambii mtu kitu......hii ni kitu ya moshi kabisa babaangu! Mkuu rombo upo wapi wamemuexpose manka huku!! teeh teeh te te the...
 
Well, waliosema ni Mchaga wameshindaaaaaaaaaaaaa!!!
Makofi Tafadhali, :clap2:
 
Back
Top Bottom