Kwa uzandiki aliofanya January Makamba kwa Hayati Magufuli hakupaswa kuteuliwa kuwa waziri. Uzandiki dhidi ya Rais ni kosa kubwa sana

Siasa za tz bila unafiki,majungu naona haziendi tabia hizi waliowengi wamerithishwa kutokana na mazingira yetu yalivyo toka enzi za kina chifu mangungo wa msovero huko,huyo Kama mumemsikia na kumuona akipiga majungu jua Kuna wengi Sana huko serikalini Kama Hao...
 
Ahaahah sukuma gang mtapata tab sana. Sidhan kama kwa mtu timamu naweza kusifu taasisi imara kudukua mawasiliano ya wateule wake na kuyaweka wazi, wewe unatatizo kubwa
How many gangs do we have in TZ? Sukuma is one of them and possibly Chagga gang what about others?
 
Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.

Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?

Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.

Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
Uliambiwa teuzi ni siri ya mteuaji
Lakini pia UKUMBUKE baba yake ni nani?

Wewe nani atakuja?
 
Wewe nani atakujua?
 
Lengo lao tumelishajua ila 2025 kanda ya ziwa kwa umoja wetu tumekubaliana kuwafundisha adabu katika sanduku la kura.
Kama 2025 kutakuwa na kupiga kura. Ikitumika mbinu ya 2020, mtapigiwa kura, na kupewa majibu tu licha ya kupoteza muda siku nzima mkifikiri mnapiga kura. Ndio kumuenzi msukuma mwenzenu!
 
You are talking nonsense kwa vile Jiwe you equated him na Mungu au zaidi ya Mungu. Rubbish, Ni mtu Kama watu wengine, Ni ngekewa tu siyo kuwa ana akili kuliko wengine.
Mbonà yeye aliwapoteza akina Ben, Mawazo etc etc
Mh!
 
Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.

Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?

Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.

Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
Dini imembeba.

Hata hivyo umemsikia mama akiupiga mwingi.

"MIMI SIWEZI KUSIMAMA HAPA NA KUFOKAFOKA"
huu ujumbe alikua anamsema JPM maana ndo alikua anafokafoka hovyo. HIvyo maanake hakumkubali JPM
 
Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.

Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?

Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.

Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?

Adui wa bwana yule kwa hakika alikuwa mshirika tosha.

Wabarikiwe wote waliofanya jitihada zozote za kumnanga bwana yule hadharani au hata faraghani.
 
Japokuwa uteuzi huwa ni bakshishi za kisiasa kwa watu wa karibu wa mwenye mamlaka lakini teuzi lazima zizingatie maadili,utii na sifa njema.

Urais ni taasisi na sio mtu mmoja tu. Kama January alionyesha uzandiki na hila kwa rais aliyepita na kisha akanaswa akimsengenya kimajungu mkuu wa nchi, huyu anafaa kurudi kwenye kabineti tena?

Maana ilidhihirika wazi kuwa hakuwa na utii kwa rais. Na ndio maana alidiliki kupika majungu.

Clip zilirushwa wazi na akaomba msamaha. Sasa leo ofisi ya rais imeona vipi kuwa anafaa? Japokuwa ni mzandiki?
Nawaambia Wana ccm mliokusanyika"asiye na dhambi,ambaye sio mzandiki awe wa kwanza kurusha jiwe"
Ccm wote wameoza,ila uvundo unatofautiana,JPM alikuwa zaidi ya shetani Lucifer,alinyanyasa watu sana,ilibidi yamkute ya Alpha Conde wa Guinea!
 
Back
Top Bottom