Kwa upande wako unaweza toa Tsh milioni 2 upate kazi ?

Hahahaa acha kabisa mkuu huyo mama ni noma kwanza aliishia std 7 tu Ila Ana miradi kibao wana duka lao Hilo wanauza kila kitu yaani ukitaka cement unapata mafuta ya kula, nguo za watoto,nafaka yaani kila kitu kipo,hapo Wana mashamba Kama yote wanalima alizeti,karanga na mahindi,anafuga nyuki wa asali na ng'ombe wa maziwa, saloon,guest house,halafu akaingia na kwenye siasa huko ndo kapata connection nyingi maana waheshimiwa hawakauki pale kwake ni noma sana
Ahahaa.... salute kwake
 
Kuna rafiki yake bi mkubwa Ana watoto wanne tumekua nao binti yake wa pili nilisoma nae NI rafiki yangu Sana ila kanizidi kidogo maana alirudia Sana shue, kuanzia secondary alikua anahonga ili mtoto apate nafasi(private) maana hakuwa na grades nzuri mpaka akafika chuo alisoma ustawi wa jamii mama akahonga 3m akaajiriwa Kama clinical officer(kumbuka hakusoma clinical medicine), mdogo wake anayemfuatia alimaliza chuo mwaka 2019 alivyomaliza mama akahonga 1m dogo akapata nafasi ya kwenda jeshini bahati mbaya wakarudishwa baada ya tamko la mkuu, hakukaa Sana mama akahonga Tena sehemu 3m dogo kaanza kazi Kama wiki mbili zilizopita mshahara kaanza na 1.8m,
Mdogo wao wa mwisho alifeli form four bi mkubwa kahonga veta dogo kamaliza kozi ya umeme, mwenyewe anasema kuhusu future ya watoto wake yupo tayari kuhonga Hata 10m ikibidi.
Hatar na robo
 
Amin Amin nakuambia, Kataa Rushwa Usiwe Mtumwa.
Rushwa ni Utumwa.

Kuna jamaa alinisisitizia Sana nimpe laki Moja aongezee na laki nyingine niliyokuwa namdai Ili nipate Kazi Pepsi Mwanza, Nikagoma nikamuambia abilipe tuu Hiyo laki yangu. Au aweke laki yake ziwe laki mbili nikipata Kazi nimlipe Hiyo laki huku nikisamehe ile yangu. Jamaa akasepa hewani Hadi amefariki mwaka huu.

Nilipopata taarifa kuwa amefariki, nikamtuma Madai kea familia yake with all evidence lkn wamekausha.

Anyway.. Usitoe Rushwa, Usiwe Mtumwa.
Ukweli ni kwamba kazi nyingi ambazo utahaidiwa kwa kutoa rushwa uwa hazifanikiwi inawezekana wapo waliofanikiwa kupata ila wengi wao uishia kuzimiwa simu na kuambulia patupu(kutapeliwa). Nnayo mifano hai zaidi ya minne kupitia kwa watu wangu wa karibu ambao walipoteza fedha nyingi kwa ahadi ya kupata kazi kwa rushwa na waliishia kutapeliwa
 
Kweli wanaopata wachache, kuna jamaa alihonga ela ili aende jkt enz zile ,alitoa 1000000 kwa kamanda flan na hakufanikiwa kupata, mzee wake alitoka na panga kwenda kwa jamaa, mwsho wa siku walilipwa ela yao.
 
Natoa icho kiasi atakae nisaidia kupata kazi bandarini
Nimesoma kozi za bandarini toka bandari college
Ela ipo
0718909429
Shehe humu unajitaftia mattzo bure, utapeliwe ama ufungwe shauri yako
 
Kuna rafiki yake bi mkubwa Ana watoto wanne tumekua nao binti yake wa pili nilisoma nae NI rafiki yangu Sana ila kanizidi kidogo maana alirudia Sana shue, kuanzia secondary alikua anahonga ili mtoto apate nafasi(private) maana hakuwa na grades nzuri mpaka akafika chuo alisoma ustawi wa jamii mama akahonga 3m akaajiriwa Kama clinical officer(kumbuka hakusoma clinical medicine), mdogo wake anayemfuatia alimaliza chuo mwaka 2019 alivyomaliza mama akahonga 1m dogo akapata nafasi ya kwenda jeshini bahati mbaya wakarudishwa baada ya tamko la mkuu, hakukaa Sana mama akahonga Tena sehemu 3m dogo kaanza kazi Kama wiki mbili zilizopita mshahara kaanza na 1.8m,
Mdogo wao wa mwisho alifeli form four bi mkubwa kahonga veta dogo kamaliza kozi ya umeme, mwenyewe anasema kuhusu future ya watoto wake yupo tayari kuhonga Hata 10m ikibidi.
Hizo pesa kwanini asiwawezeshe kujiajiri?
 
Back
Top Bottom