Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,752
- 13,401
Mmmh hapo pana kaugumu kidogo700k
Mmmh hapo pana kaugumu kidogo700k
Ni gvmt mkuuMmmh hapo pana kaugumu kidogo
Sawa lakin huko sahv kaz zote zinapitia utumishi, labda awe na connection ya moja kwa moja toka juuNi gvmt mkuu
Sio zinaptia TAMISEMI mkuu?Sawa lakin huko sahv kaz zote zinapitia utumishi, labda awe na connection ya moja kwa moja toka juu
Ndio huko hukoSio zinaptia TAMISEMI mkuu?
Ilikuwaje mrKuna utapeli ndugu. Nami niliwahi kutapeliwa 400,000 miaka kadhaa iliyopita kwa ahadi za Kama hizi. Kuwa makini Sana, unaweza toa hiyo hela na kazi usipate. Kiukweli ajira za Sasa ni changamoto, unapoenda kuomba kazi Kuna watu Wana watoto/ndugu/majirani/rafiki wanahitaji ajira hizohizo.
AiseeKuna jamaa yangu alipigwa Mill 2 Kwa ahadi ya kupata kazi TANAPA baada ya kutoa tu hiyo pesa jamaa (Yule boss)akawa hapatikani tena kwenye simu yaani...
Kwa ushauli labda upate kwanza hiyo kazi ndo utoe..
Hapo Ni sahihi kabisaa. Bora upate kazi mkataba kwanza ndipo uachie miezi hata 2Kuna jamaa yangu alipigwa Mill 2 Kwa ahadi ya kupata kazi TANAPA baada ya kutoa tu hiyo pesa jamaa (Yule boss)akawa hapatikani tena kwenye simu yaani...
Kwa ushauli labda upate kwanza hiyo kazi ndo utoe..
Hapo Ni sahihi kabisaa. Bora upate kazi mkataba kwanza ndipo uachie miezi hata 2
Inawezekana haujawahi kuwa jobless wewe.Usitoe rushwa kupata kazi.
Huwezi kuifanya kwa ufanisi.
Mkuu upo Elimu?Mi naweza ili nipate uhamisho, hata cash as long as nifanikiwe kuhama huku niliko
Upate ajira hata kwa ahadi kuwa miezi 2 utamwachia mishahara yako.Kwa kaz za sirikali ambazo hazina mkataba vp
NdioMkuu upo Elimu?
hiyo ni fursaHabari yenu wana jf.
Ikiwa imetokea nafasi au fursa ya kupata kazi serikalini lakini ukaambiwa utoe pesa huyo na ukahakikishiwa utapata kaz, vipi kwa upande wako ungetoa?
Duuuhiyo ni fursa
wengine hawajawi kuambiwa hata kuwa nafasi ipo
Siwezi aisee io hela bora nifungulie biashara tu,Habari yenu wana jf.
Ikiwa imetokea nafasi au fursa ya kupata kazi serikalini lakini ukaambiwa utoe pesa huyo na ukahakikishiwa utapata kaz, vipi kwa upande wako ungetoa?