Kwa teuzi hii tutegemee mabadiliko katika baraza la Mawaziri, Je wakina nani watakuwa ingizo jipya na wakina nani watatolewa?

Hatujawahi kuwa na waziri wa fedha mwanamke..may be this time
Ila Madelu wakimpeleka Ulinzi ujue watakuwa kweli wanamtayarisha kwa 2025! Kwa tunavyomjua yule atatumia fursa hiyo kujitengeneza ndani ya vyombo vilivyochini ya Wizara

Kama 2015 mawe aliyoyachora yaliishia njia ya kwenda Singida na Tabora basi akiwa Ulinzi yatenea nchi nzima, na hata vifaru vitatumika kwa kampeni yake ya wazi na hata chinichini

Hatuna shida na yeye kuuta u presidaa maana kama walivyowengine na Madelu naye anahaki hiyo. Tatizo ni kwamba he is just another Kayafa tena he is even worse.
 

Dah!! Kusini mwa jangwa la Afrika. Tozo ziendelee
 
Na tayari saivi ana cash ya tozo huko ni kwenda tu kukamilisha mipango
 
Kweli aliye nacho huongezewa walisema wahenga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…