Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,870
- 155,831
Mabadiliko yamechelewa sana
Muda wa kina Humphrey Polepole kuhamishiwa ubalozini umewadiaProf Janabi Si Mbunge na nafasi za uteuzi Kama zishajaa
Zakia MeghjiHatujawahi kuwa na waziri wa fedha mwanamke..may be this time
Na Saada Mkuya mwishoni mwa kipindi cha KikweteZakia Meghji
Ila Madelu wakimpeleka Ulinzi ujue watakuwa kweli wanamtayarisha kwa 2025! Kwa tunavyomjua yule atatumia fursa hiyo kujitengeneza ndani ya vyombo vilivyochini ya WizaraHatujawahi kuwa na waziri wa fedha mwanamke..may be this time
Saada alikua ni miongoni mwa Manaibu Waziri wawili wa Wizara ya Fedha, yeye akiwakilisha Zanzibar kama ilivyo kwa Masauni Yusuph kwa sasaNa Saada Mkuya mwishoni mwa kipindi cha Kikwete
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 10/09/2021 amemteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika nafasi kumi za kuteuliwa na Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania.
Kabla ya uteuzi huo Dkt. Stergomena Lawrence Tax, alikuwa Katibu mtendaji wa Jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini mwa jangwa la afrika (SADC), ambaye amemaliza muda wake mwezi Agosti mwaka huu.
Mbunge huyo ataapishwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Tuwe wavumilivu, mabadilko yanakuja hivi karibuni katika baraza la mawaziri.
View attachment 1931809
Zakhia MeghjiHatujawahi kuwa na waziri wa fedha mwanamke..may be this time
Hatujawahi kuwa na waziri wa fedha mwanamke..may be this time
Zakhia Meghji alikuwa waziri wa nini enzi ya Jk.check your memories.Hatujawahi kuwa na waziri wa fedha mwanamke..may be this time
Alikuwa waziri kuanzia 2014.Na before hapo Zakhia nae alishakuwa waziri wa fedha.Saada alikua ni miongoni mwa Manaibu Waziri wawili wa Wizara ya Fedha, yeye akiwakilisha Zanzibar kama ilivyo kwa Masauni Yusuph kwa sasa
Yeah, nimekumbuka mkuuAlikuwa waziri kuanzia 2014.Na before hapo Zakhia nae alishakuwa waziri wa fedha.
Dah nilimsahauZakia Meghji
Na tayari saivi ana cash ya tozo huko ni kwenda tu kukamilisha mipangoIla Madelu wakimpeleka Ulinzi ujue watakuwa kweli wanamtayarisha kwa 2025! Kwa tunavyomjua yule atatumia fursa hiyo kujitengeneza ndani ya vyombo vilivyochini ya Wizara
Kama 2015 mawe aliyoyachora yaliishia njia ya kwenda Singida na Tabora basi akiwa Ulinzi yatenea nchi nzima, na hata vifaru vitatumika kwa kampeni yake ya wazi na hata chinichini
Hatuna shida na yeye kuuta u presidaa maana kama walivyowengine na Madelu naye anahaki hiyo. Tatizo ni kwamba he is just another Kayafa tena he is even worse.
Na s mm Saada MkuyaZakhia Meghji
Zakhia Meghji alikuwa waziri wa nini enzi ya Jk.check your memories.
Kweli aliye nacho huongezewa walisema wahenga!Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 10/09/2021 amemteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika nafasi kumi za kuteuliwa na Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania.
Kabla ya uteuzi huo Dkt. Stergomena Lawrence Tax, alikuwa Katibu mtendaji wa Jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini mwa jangwa la afrika (SADC), ambaye amemaliza muda wake mwezi Agosti mwaka huu.
Mbunge huyo ataapishwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Tuwe wavumilivu, mabadilko yanakuja hivi karibuni katika baraza la mawaziri.
View attachment 1931809
Hivi Mustafa alisha tanguliaBaadae akapewa uawaziri kamili baada ya kifo cha Waziri Mustafa Mkulo.
Hii ni kweli kabisa!Lamek aende Ulinzi. Dorothy Mifugo hukoo au Michezo na Sanaa