Kwa teuzi hii tutegemee mabadiliko katika baraza la Mawaziri, Je wakina nani watakuwa ingizo jipya na wakina nani watatolewa?

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,061
2,000
Wakuu salaam,

Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.
Uwaziri sio mali ya mtu binafsi bro hata ww unaweza kuteuliwa
 

mdudu

JF-Expert Member
Feb 6, 2014
5,481
2,000
Wakuu salaam,

Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.
Naarifiwa kuwa zamu hii ni Biteko na Bashungwa wataliwa vichwa ili kuendelea kuwapunguza lake zone serikalini
Inasadikika Biteko kahodhi migodi mingi sana,na amewekeza maloli/magali makubwa ya kubeba mafuta ya kitambo kwa kupitia rafiki na ndugu yake Mnyarwanda blue cost ,kupeleka mafuta kwenye mgodi wa GGM,amenunua magali zaidi ya 40 scania na Benz.
 

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,061
2,000
Kuna ile team ya kwenye audio, shikamoo baba, ndio tunaandaa hapa barua juu ya tamko la wazee.

Mmoja wao kapewa wizara kaleta giza nchi nzima, bado kuna mmoja kabaki hajapewa fadhila,
Yetu macho.

Nchi inatoka kanani inarudi misri, sir God angani anacheka hihiii hiiii yaone yale
Umepata dina boss
 

nkomelo

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
215
225
Ana

Taja kazi anazofanya awamu ya sita?
Wewe huwezi kuona na hata ukiambiwa katu kuelewa huwezi kwasababu unachuki na huyu bwn. Ongeza chuki, mseme kila thread ufurahi, andika kabisa, mtukane hadi akome. Ila ujue mimi nimechimba madini kwa miaka sasa kijana huyu na mnayoandika hayana mfanano nao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom