Kwa teuzi hii tutegemee mabadiliko katika baraza la Mawaziri, Je wakina nani watakuwa ingizo jipya na wakina nani watatolewa?

Tatizo wanaotolewa na wanaowekwa wote hovyo.
Wizara ya nishati si alitolewa Kalemani akawekwa Januari Makamba

Sasa usishangae katika wizara ya madini akatolewa Biteko akawekwa Nape Nauye ama Ridhiwani kabisaa
 
Biteko ni msukuma, ni mkristo, anatoka kanda ya ziwa, alikuwa kipenzi cha (kijana wa) mwenda zake

Zote hizi ni sifa za kupigwa chini na uongozi wa awamu ya 6
Kwahiyo yeye anahatimiliki Ya uwaziri?
 
Wakuu salaam,

Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.
Hata Makamba aliwekwa kando leo ni Waziri wa Nishati hata kama hana uwezo wowote. Usije shangaa Doto Biteko sio tu anakuwa Waziri Mkuu hapo baadae hata Urais!
 
Naarifiwa kuwa zamu hii ni Biteko na Bashungwa wataliwa vichwa ili kuendelea kuwapunguza lake zone serikalini
 
Ni Mwalimu, inatakiwa akafundishe afaulishe watoto, mbogwe juzi wameuwawa wachombaji wadogo sita yeye yuko hapo Bukombe anapiga kimya
 
Biteko ni msukuma, ni mkristo, anatoka kanda ya ziwa, alikuwa kipenzi cha (kijana wa) mwenda zake

Zote hizi ni sifa za kupigwa chini na uongozi wa awamu ya 6
Hili jina asili yake ni ujitani .
 
Hiv jamani ni kweli biteko hafanyi kazi au kuna watu wanachuki naye tu wanamsagia kunguni?
Ni very corrupt. Kama una hela nzuri ya kumpa, unataka kuchimba madini yoyote ndani ya leseni zilizofanyiwa utafiti na makampuni, utapewa eneo ndani ya mwezi mmoja, na mmiliki ataundiwa zengwe, atanyang'anywa.

Ukiona tu anajitokeza kwenye TV na kudai kuwa mpaka kufikia tarehe fulani leseni ambazo wamiliki hawajajenga migodi, watanyang'anywa, ujue kuna mtu au watu ambao tayari wamemshibisha.
 
Wakuu salaam,

Kuna wizara zitafanyiwa mabadiliko bt jina tajwa zaidi karibuni ni biteko, hivo mkuu jiandae kisaikolojia, kama kuna tudili ulituweka pending, tufyatue haraka maana muda si rafiki.
Mr sound huyo jamaa ni mwizi sana na wakati wa kiluo cha magu jamaa kaiba dhahabu sana
 
Back
Top Bottom