Kwa situation ambayo napitia, hakika uchawi upo

Kwa situation ambayo napitia, hakika uchawi upo

[emoji23][emoji7] wachawi watu wabaya saana wamenitupia pepo ya kupenda mademu tu si sifikirii cha kesho au cha jana [emoji23][emoji16]
Zivue tu kwa sana si ndio matumizi ya pesa
 
Mnawaogopaje hao wapumbavu wakat mbinu za kuwashinda mmpewa kuanzia vitabuni hadi jadi
 
Mkristo Muislamu unamuogopaje mchawi Sasa.
Wachawi wanakushindeni kwenye sadaka.
We fanya matendo ya baraka uone kama utarogwa
 
Uongo mtupu. Hiyo siyo kabisa Casablamca, hizo style ya nyumba zipo USA na Canada tu. Tusidanganyane.

Mitaa ya Morocco inaandikwa Kiarabu na kifaransa.


Unafahamu maana ya neno "casablanca" na kwanini huo mji ukapewa jina hilo?


Hivi kwanini mnakuwa na uongo wa kijinga?

Kiongozi nilikuwa na mjibu jamaa fulani ambaye alikuwa anasema niko cansablaca moroco ndo nikamtumia picha hizo kama njia ya kumcheka tu kuwa niko cansablaca
 
Rudi Tanzania Tupambane Na Uhaba Wa Maji Na Umeme Akili Yako Itakaa Sawa Utapata Maendeleo Haraka Sana
 
Kiongozi nilikuwa na mjibu jamaa fulani ambaye alikuwa anasema niko cansablaca moroco ndo nikamtumia picha hizo kama njia ya kumcheka tu kuwa niko cansablaca
Pole sana.

Uongo haufai.
 
Mbona nikiangalia hizo picha nyumba, magari, na mitaa ni mfumo wa Kimarekani kabisa au Amerika Kaskazini

Na kwenye uzi unasema uko Ulaya.

Uko Ulaya au Amerika?
 
Back
Top Bottom