Kwa situation ambayo napitia, hakika uchawi upo

Mkuu nimeona nyota yako..na Roho mtakatifu ananiambia kuwa unaweza kumiliki majumba makali na mali pindi tu utakaposahau joto la mbususu na mshahara wako wa mwezi huu utume kwangu nikutakase mkuu

hakuna mchawi wala nini ila ni hao wanawake unaowatumia mara kwa mara huko ughaibuni sema ameen
 
Pambana inawezekana utaratibu wako wa maisha mfano SAVING unafanya?, una addiction ambayo inakulia hela nyingi n.k

Fanya assessment ya maisha yako kwanza na fanya marekebisho kabla ya kuhamia kwenye uchawi

I done all these mpaka kuomba msaada wa mawazo kwa marafiki zangu lakini najikuta hakuna chochote zaidi ya kuzidi kupotea.

Nakuambia ndugu yangu mimi najitambuwa kuwa siko sawa tatizo ni pale uwezo wa kutatua changamoto ndo unapotea kabisa katika akili yangu.

Na wakati mwengine nafikiria njia za kutatua ila nikitaka kufanya Jambo ilo najikuta najisau
 
Mkuu nimeona nyota yako..na Roho mtakatifu ananiambia kuwa unaweza kumiliki majumba makali na mali pindi tu utakaposahau joto la mbususu na mshahara wako wa mwezi huu utume kwangu nikutakase mkuu

hakuna mchawi wala nini ila ni hao wanawake unaowatumia mara kwa mara huko ughaibuni sema ameen

Amen mtumishi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I done all these mpaka kuomba msaada wa mawazo kwa marafiki zangu lakini najikuta hakuna chochote zaidi ya kuzidi kupote...
Sijui imani yako lakini jikurubishe zaidi kwa Mola Mlezi na toa sana sadaka na amka usiku mlilie Mola Mlezi yatakuondoka hayo yanayokusiku
 
Kwenye maisha yangu sijwahi kuamini ushirikina kamwe ila kwasasa kutokana na situation ambayo napitia hakika huu utakuwa mkono wa mtu sio bur...
Kama ni Muislam usidhrau wala kuwacha sala tano za faradhi kwa siku.

Kama siyo Muislam badilika na kuwa Muislam.
 
Kwenye maisha yangu sijwahi kuamini ushirikina kamwe ila kwasasa kutokana na situation ambayo napitia hakika huu utakuwa mkono wa mtu sio bur...
Hujambo? Huku ndiyo haya tunayapiga vita ambapo, vijana wanaua Wazee wao kisa Imani hizi. Haya tuambie umekwama wapi maana unaweza kuja huku wapiga ramli wakuambie fulani halafu iwe shida maana wao kazi yao kuchonganisha watoto na wazazi wao hasa Wazee.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Mama shikamoo. Kwangu itakuwa heshima kubwa sana kufanya kazi chini yako idara ya elimu kwa jamii, kitengo cha kuelimisha jamii kuhusu kufanya kazi kwa bidii na kuepuka imani potofu za kishirikina.

Napatikana kidatu Morogoro, niko tayari kuanza kazi hata sasa.
 
Natazamia jibu zuri kutoka kwako Mheshimiwa Waziri.
 
Mama shikamoo. Kwangu itakuwa heshima kubwa sana kufanya kazi chini yako idara ya elimu kwa jamii, kitengo cha kuelimisha jamii kuhusu kufanya kazi kwa bidii na kuepuka imani potofu za kishirikina.
Napatikana kidatu Morogoro, niko tayari kuanza kazi hata sasa.

Kazi gani
 
Marahaba, kumbe jirani yetu Wana Dodoma, haya tutachati kwenye 0765345777 tuone lipi lawezekana. Yaani mambo haya ya Imani hizi lazima tuyatafutie muarobaini jamani. Ubarikiwe

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
 
Hujambo? Huku ndiyo haya tunayapiga vita ambapo, vijana wanaua Wazee wao kisa Imani hizi. Haya tuambie umekwama wapi maana unaweza kuja huku wapiga ramli wakuambie fulani halafu iwe shida maana wao kazi yao kuchonganisha watoto na wazazi wao hasa Wazee.

Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app

Elewa mama kama wewe unaishi vizuri na familia yako shukuru Mungu na usilo lijua ni kama usiku wa giza kwa hiyo naomba tulia mama
Wengine wapambane na maisha yao na wewe pambana na kazi yako full stop
 
Mkuu mpe Mungu nafasi katika MAISHA yako.

Na kuwa mtu wa kushukuru kwa kila Jambo

Unaweza ukasoma Kitabu Cha The Magic by Rhoda.

Utafute Sana utulivu wa Mwili ,roho na nafsi mkuu
Maisha nikuweka balance kwa kila kitu usikubali kuishi Sana kiroho au kuishi Sana kimwili au kinafsi lazima kimoja kikiwa na nguvu kitakuletea madhara.

Jaribu kufanya hivyo maana tatizo lako kubwa unaishi Sana kimwili hivyo lazima ujiumize ,uumizwe na uwaumize it is about lack of balance.

Amka usiku ufanye meditation ujaribu kufungua chakra zako zilizojifunga. All the best homie.
 
Elewa mama kama wewe unaishi vizuri na familia yako shukuru Mungu na usilo lijua ni kama usiku wa giza kwa hiyo naomba tulia mama
Wengine wapambane na maisha yao na wewe pambana na kazi yako full stop
Kazi yangu mojawapo si hii ya jamii, nadhani hata hivyo haikuwa lazima ilikuwa ushauri tu. Naitangaza kazi ya wizara ya Jamii kwa mwenye kuona anahitaji sawa, asiyehitaji naye sawa. Ila kutulia sasa haiwezekani maana si ndiyo kazi nafanya muda huu kuifikia jamii. Ushauri wa kutulia hapana maana sasa tatizo limekuja wazi wazi mitandaoni toka kwenye jamii tunayoihudumia.

Ila kwa kuwa nimetimiza wajibu na ww umekataa, basi napokea hoja yako.🤝

Back
Top Bottom