Kwa situation ambayo napitia, hakika uchawi upo

Kwa situation ambayo napitia, hakika uchawi upo

Mbaazi akikosa kuzaa........ Acha fikra za kipuuzi tupe total ya mapato na matumizi yako ya kila mwezi tukusaidie kubudget.

Kiongozi yote na jua hayo na swala lingekuwa ilo la kutokujua kutumia pesa ipasavyo mpaka lingekuwa nimeshalitibu huu ni mkono wa mtu
 
Kwenye maisha yangu sijwahi kuamini ushirikina kamwe ila kwasasa kutokana na situation ambayo napitia hakika huu utakuwa mkono wa mtu sio bure
Nina takribani miaka 8 ulaya ila cha ajabu Sina hata nyumba ya miti kwetu afrika na Sina amendeleo yeyote kwetu sio kwetu tu mpaka uku
Kila nikijaribu kufikiria kufanya Jambo la maana katika maisha yangu
Najikuta na dumbukia katika hali ambayo itakayo nipotezea malengo yangu
Na cha ajabu yakipotea najikuta najilaumu bure nikipanga tena naharibu peke yangu kinacho ni shangaza ninijunubhyhbģ
Najitambuwa kuwa siko sawa kabisa ila kufanya Jambo la maana ili kujikomboa na hali hii uwezo ndo unapotea

Sijawahi kuamini uchawi kwenye maisha yangu kwasasa naona bora kurudi nyumbani afrika na mimi nije kufanya Jambo la maana kwa wazee wangu maana huu ni uchawi kabisa
Wanadamu wabaya saana

Kwenye maisha yangu sijwahi kuamini ushirikina kamwe ila kwasasa kutokana na situation ambayo napitia hakika huu utakuwa mkono wa mtu sio bure

Nina takriban miaka 8 ulaya ila cha ajabu Sina hata nyumba ya miti kwetu afrika na Sina amendeleo yeyote kwetu sio kwetu tu mpaka huku

Kila nikijaribu kufikiria kufanya Jambo la maana katika maisha yangu

Najikuta na dumbukia katika hali ambayo itakayo nipotezea malengo yangu

Na cha ajabu yakipotea najikuta najilaumu bure nikipanga tena naharibu peke yangu kinacho ni shangaza nini
Najitambuwa kuwa siko sawa kabisa ila kufanya Jambo la maana ili kujikomboa na hali hii uwezo ndo unapotea

Sijawahi kuamini uchawi kwenye maisha yangu kwasasa naona bora kurudi nyumbani afrika na mimi nije kufanya Jambo la maana kwa wazee wangu maana huu ni uchawi kabisa

Wanadamu wabaya saana
CHAI...hujawahi fika hata Uganda wewe...endelea kujifurahisha
 
""""Nhar sheftek 9dami, banli zhri ana
Ntaya mktabi, w nta 3ini ana
Kat7ama9ni kat7ama9ni, wmajayb khbar
Loukan bidiya, ana 9lbi nsh3l fih nar"""""

Makhelaw magalou
Makhelaw walou fiya wfik
Makhelaw madarou
Wa kan7ebek wnmout 3lik
Makhelaw magalou
Makhelaw walou fiya wfik
Makhelaw madarou
Wa kan7ebek wnmout 3lik
 
Nani huyo kakuroga tukamcharaze fimbo

Nakuambia ndugu yangu sijui
Kibaya zaidi mimi najitambuwa kuwa Sipo sawa kabisa ila kinacho ni shangaza ni kuwa kila nikipanga kufanya Jambo la maana ili kujisiadia kutoka hali hii najikuta Nasau ninacho taka kufanya naenda kufanya nisicho kitaka
Alafu na kuja kukumbuka Baada ya action
Na wakati mwengine najua ninafanya vibaya ila ile roho ya kutoka ndo inakuwa haipo kabisa ninafanya ivo ivo alafu nikimaliza Ninaanza kujilaumu
Wewe unaona ni kawaida iyo
 
Tafuta hela ndugu, hizo habari za uchawi utazisikia redioni
 
Tafuta hela ndugu, hizo habari za uchawi utazisikia redioni

Pesa zipo ndugu yangu wewe unafikiri mimi maskini [emoji23][emoji16]
Hapana mimi sio maskini wala tajiri ila siwezi kushindwa kujinunulia cha kula mavazi na mengine
Na kwa pesa zangu ninazo zipokea kazini ningekuwa Tanzania labda watu wangekuwa wananiita milionea kwa hiyo mimi sio mskini
 
Pesa zipo ndugu yangu wewe unafikiri mimi maskini [emoji23][emoji16]
Hapana mimi sio maskini wala tajiri ila siwezi kushindwa kujinunulia cha kula mavazi na mengine
Na kwa pesa zangu ninazo zipokea kazini ningekuwa afrika labda watu wangekuwa wananiita milionea kwa hiyo mimi sio mskini
Kama pesa unazo mbona huna hata bajaji mbovu huku mkuu.

Kwakweli sijawahi ona milionea analogwa huku bongo au anatolewa mapepo ya uchawi
 
Kama pesa unazo mbona huna hata bajaji mbovu huku mkuu.

Kwakweli sijawahi ona milionea analogwa huku bongo au anatolewa mapepo ya uchawi

[emoji23][emoji16] ulimwengu una mambo mengi saana ndugu yangu
Huenda ukawa hujui ila ulimwengu una mambo menge saana kwa hiyo tulia na omba Mungu upate pesa kidogo
 
Af huyo ukute yupo tu hapo kwa Mtogole anatuchora tu hapa

image-2023-10-03-10:06:20-372.jpg

Kwa mtongole hapa [emoji23][emoji16][emoji30]
 
Attachments

  • image-2023-10-03-10:05:40-110.jpg
    image-2023-10-03-10:05:40-110.jpg
    1.4 MB · Views: 1
Back
Top Bottom