kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,042
Kwenye maisha yangu sijwahi kuamini ushirikina kamwe ila kwasasa kutokana na situation ambayo napitia hakika huu utakuwa mkono wa mtu sio bure.
Nina takriban miaka 8 ulaya ila cha ajabu Sina hata nyumba ya miti kwetu afrika na Sina amendeleo yeyote kwetu sio kwetu tu mpaka huku.
Kila nikijaribu kufikiria kufanya Jambo la maana katika maisha yangu.
Najikuta na dumbukia katika hali ambayo itakayo nipotezea malengo yangu.
Na cha ajabu yakipotea najikuta najilaumu bure nikipanga tena naharibu peke yangu kinacho ni shangaza nini
Najitambuwa kuwa siko sawa kabisa ila kufanya Jambo la maana ili kujikomboa na hali hii uwezo ndo unapotea.
Sijawahi kuamini uchawi kwenye maisha yangu kwasasa naona bora kurudi nyumbani afrika na mimi nije kufanya Jambo la maana kwa wazee wangu maana huu ni uchawi kabisa.
Wanadamu wabaya saana