Wafanyabiadhara walikutana na Samia alipokuwa Zanzibar na wakamshawishi atekeleze hiyo “ Nonsense “ Deep State in action!Umejikita zaidi kuonesha matumizi ya neno nonsense kama ambavyo lilitumiwa na Hayati Mwalimu, hujaonesha justification wa Raisi Samia kuita maamuzi ya Waziri wa Kilimo "nonsense". Waziri wa Kilimo alikataa kutoa vibali vya sukari kwa msimamo wa kulinda wazalishaji wa ndani. Raisi naye kwa uelewa wake inaonekana hakubaliani na waziri wake kwa sababu kuna upungufu wa sukari ambao lazima ujazwe kwa kuagiza sukari nje. Nafikiri kinachogomba hapa ni usimamizi wa hiyo biashara