St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,233
mkuu hawa viumbe hawaeleweki, unaweza ukawapa hiyo kampani wakakupakazia *b*w*e*g*e! mimi nazani hawa wadada wenyewe wa kibongo wana mentaliti hiyo hiyo ambayo unaidefend.KWA NINI WANAUME/AKINA BABA WENGI WANAFIKIRI WAO NDIO WAAMUZI/WAFALME WA NYUMBA?
Suala hili limekuwa likinikera sana akilini mwangu kwa miaka mingi. Ya kwamba akina baba/wanaume wao wanafikiri kazi yao kubwa katika nyumba ni kuwa MUME/BABA basi. Mara nyingi utasikia wanasema mimi ndio mkubwa wa nyumba. Na kama wanafanya kazi za ofisini basi ndo itakuwa kero mno. Kwani hapa atataka anaporudi toka kazini akute chakula mezani, maji ya kuoga bafuni tena ya moto, nguo zmepigwa pasi n.k. Na kinyume kama hana kazi basi atakuwa anashinda kilabuni(UGIMBI) na akirudi toka huko basi ni kelele tu, hakuna amani wala maelewano
Bado naendelea, kuna wengine wanaona kupika, kulea watoto, kutafuta chakula ni kazi ya wanawake. Yaani hawawezi hata kujipikia chai kwa vile wao ni wanaume au hata kumbadili mtoto nepi, Mtoto amabaye ni wake. Kikubwa wanachofanya ni kukaa kitini/sofani na kuletewa kile wanachotaka. Wanasahau kabisha jambo la USAWA.
Bado wanaishi dunia ya mababu, mababu na mababuzi. Tuache UBINAFSI tuishi kwa kushirikiana/kusaidiana kwani wote ni SAWA. Nasema tena tuishi kwa kusaidiana hapo wote tutafurahia maisha. Tuache mambo ya UTUMWA
Na: Yasinta Ngonyani
mkuu hawa viumbe hawaeleweki, unaweza ukawapa hiyo kampani wakakupakazia *b*w*e*g*e! mimi nazani hawa wadada wenyewe wa kibongo wana mentaliti hiyo hiyo ambayo unaidefend.
mimi mwenyewe nashangaa.
Wanaume mnataka kufanyiwa kila kitu.
ukisaidia sana mpaka ukacross border hata yeye pia atakuzarau kuna majukumu yako feminine zaidi. najua hapa mnafurahisha tu lakini mnajielewa BJ bana. eniwei mbona ulipoteaga sana? au JF mpya hatuonani?Mnajishtukiaga tu kuwa mtaonekana mmewekwa kwenye kiganja cha mkono..Kusaidiana na partner wako siyo jambo baya wala jipya duniani..
mkuu hawa viumbe hawaeleweki, unaweza ukawapa hiyo kampani wakakupakazia *b*w*e*g*e! mimi nazani hawa wadada wenyewe wa kibongo wana mentaliti hiyo hiyo ambayo unaidefend.
Mimi mwenyewe nashangaa.
Wanaume mnataka kufanyiwa kila kitu.
tuwasaidie lakini kwa tahazari na mipaka. kuna rafiki angu mmoja hapa anamfanyia waifu wake kila kitu , yaani anajitahidi kweli in the name of love lakini mdada anawaambia washkaji nje eti mume wake anafanya yote yale kwa sababu anajua akimpoteza yeye hawezi kupata mrembo mwengine kma yeye dah! jamaa mpaka sasa hajaskia hizo taarifa lakini namuoneaga huruma kweli aiseeHapo sasa mkuu, sijui tuwafanyie nini hawa wapinzani wetu...........
ukisaidia sana mpaka ukacross border hata yeye pia atakuzarau kuna majukumu yako feminine zaidi. najua hapa mnafurahisha tu lakini mnajielewa BJ bana. eniwei mbona ulipoteaga sana? au JF mpya hatuonani?
ndo maana mimi kwa kulitambua suala hili la usawa nilitoa vigezo hakuna aliyeni-PM.......mimi shurti upike,upasi,ufanye usafi,uende sokoni,uogeshe watoto,ukawachukue shule etc......nikiwa na maana hayo ni majukumu yetu wote.....wewe ukitaka kutoka kazini uweke miguu kwa kiti,unadai kahawa sijui bites za kusubiria mlo wa jioni,utaumia....nasi tunafanya kazi na tunachoka....tusaidiane.......kuna ubaya gani kuwa ***** kwa mkeo.....si ndo mapenzi kusaidiana,nyie mwataka hadi mkimaliza tendo na kufutwa mfutwe....haloooooooooooo:laugh::laugh:
honestly hili la kufutwa sikuwahi kuli demand...
sasa nitaanza kuli demand.kumbe tunahaki nyingi hivi?zingine sizijui lol
Mna haki nyingi sana......yaani mno......hadi zimewazidi..........:laugh::laugh:
Hapo sasa mkuu, sijui tuwafanyie nini hawa wapinzani wetu...........