masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,384
- 19,295
- Thread starter
- #41
Kwa kawaida inafahamika mwanaume ndo bread winner.....inakuwa ngumu mtu anajituma kutafuta pesa ili atunze mtoto wa mwanaume mwenzie lakini yeye akiwa na mtoto anachukulia simple kwa sababu pesa anatafuta yeye we mwanamke huwezi kuwa na sauti sana
This is not about the money my dear its about the love
mbona unakuta hata mama huyo ana kazi na hamtegemei mwanaume kihivyo??