Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

ewaa!! Huo ndio mtihan tunaopata hata sisi.
Nafikiria mengi kuwa nikioa mwanamke mwenye mtoto atapata tabu tu, najua mm peke yake ndio ntakuwa msaada kwake wala sio wifi zake wala mama mkwe wake,.
Huyo mwanamke lazma atachukiwa na ndg zangu wote, kunaleo na kesho labda mm nmesafiri ile safar ya kudumu basi mkew wangu atakuwa kinyago mbele za mawifi zake atakuwa mtu mwenye kutukana na kutengwa. Sasa kwann tufikie huko? Soln ni kuoa asiye na mtoto

Kwa hiyo tufike sehemu tujiulize, kosa la nani?
 
Network pumbavu sana nimejibu swali mm binafsi ila sioni jibu
 
Mie mwanaume nilienae, amempokea mwanangu tangu yuko tumboni na mpaka leo hii ana 7 years niko nae mpaka mwanangu anajua kuwa yule baba yake....
Ila ngoma iko upande mwingine....mawifi waliweka ngumu, lakini mwisho wa siku, ilibidi wakubali matokeo maana wakinikuta nami kisiki cha mpingo.

Ila masai dada, MAWIFI na MAMA WAKWE NDO TATIZO.

kabisaa madam
wengi humghasi sana mume
kama mume atawasikiliza hamna ndoa hapo

japo pia wanaume wengi wenyewe hawataki
AISEEE MPENDE MUMEO KULIKO CHOCHOTE
 
Last edited by a moderator:
Mama yangu baada ya baba kufariki aliolewa tena na huyu baba wa sasa...na ndiye alietulea na kutusomesha mpaka chuo huyu Mzee.
So to me mwanamke mwenye mtoto nnayeweza kumuoa ni mjane tuu na sio uruke ruke huko wakumimbalize utarajie kuolewa na mm,never.
 
aisee...inategemea anaweza kuhusika labda ndio maana sitaki hio habari....lakini mwanamke ndio ataamua anikubali na mtoto au la...ila mimi mwanamke mwenye mtoto...ni no no no!

ujaeleza sababu why no
 
Dah sio wote aise ila kwa upande wangu sija bahatika kukutana na mwanamke mwenye watoto wa nje na ikitokea bas nita wa care kama wanangu wa kuwazaa coz mi mwenyew nimelelewa na baba wa kufikia na nimepewa elimu,malezi sawa bila kuonyesha ubaguzi kwa watoto wote japo alisha fariki lakini nilimueshimu kama baba na baba alie nizaa simjui mpaka leo. So mtu kama mimi sioni kama watoto wa mwanamke ni kipingamizi cha yeye kuishi na mimi na hata kama ana watoto wa 3 nitamshauri awa lete tuishi pamoja coz na wenyewe ni members wa familia.

Kula tano kwa kushare experience yenye mafunzo mazuri
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Mama yangu baada ya baba kufariki aliolewa tena na huyu baba wa sasa...na ndiye alietulea na kutusomesha mpaka chuo huyu Mzee.
So to me mwanamke mwenye mtoto nnayeweza kumuoa ni mjane tuu na sio uruke ruke huko wakumimbalize utarajie kuolewa na mm,never.

Iga mfano wa baba yako wewe
 
kabisaa madam
wengi humghasi sana mume
kama mume atawasikiliza hamna ndoa hapo

japo pia wanaume wengi wenyewe hawataki
AISEEE MPENDE MUMEO KULIKO CHOCHOTE

Yaani Mgirik kanivunja nguvu kabisa.
Najua wanaume watavutia upande wao.
Ila kiukweli tatizo kubwa lipo kwa mama zao.
Mgirik kasema kule juu, endapo utang'ang'ania kuoa mke mwenye mtoto, na nduguze hawamtaki.....akisafiri je, na kama unavyojua gubu la mawifi....ndio maana eti anaoa mke kigori.
.....Mimi nakataa....ukimpenda mwanamke, hata mama yako aongee mpaka apasuke mdomo, kama mmependana, watagonga mwamba tu
 
Last edited by a moderator:
Iga mfano wa baba yako wewe

Ndio maana nimesema mwanamke mwenye mtoto nnaeweza oa ni yule ambae alikua ameolewa na mumewe bahati mbaya akafariki...(huyu baba alimuoa mama baada ya baba yangu mzazi kufariki,na hiyu baba pia mkewe alikua ashafariki zamani,so walioana waliopoteza wenza)
 
Hivi unadhani ni kitu rahisi kufanya hayo maisha huku wazazi hawajaridhia????
 
Last edited by a moderator:
Mie mwanaume nilienae, amempokea mwanangu tangu yuko tumboni na mpaka leo hii ana 7 years niko nae mpaka mwanangu anajua kuwa yule baba yake....
Ila ngoma iko upande mwingine....mawifi waliweka ngumu, lakini mwisho wa siku, ilibidi wakubali matokeo maana wakinikuta nami kisiki cha mpingo.

Ila masai dada, MAWIFI na MAMA WAKWE NDO TATIZO.

hapo umenena, nyinyi wanawake wenyew ndio chanzo cha sisi wanaume kuwakimbia wanawake wenye watoto.
Nakumbuka kaka yangu alipokuja likizo baada ya chakula cha usiku akaanza kutupa taarifa kuwa amempata mchumba na mwezi ujao atamleta nyumban aliulizwa vp unamfaham vzr tabia yake?
Akajibu ndio ila anamtoto alishawahi kuzaa na jamaa flan kipindi anasoma.
Loh! Majibu aliyoyapata kutoka kwa dada na mama aliishiwa nguvu hapohapo. Hakuwa na ham ya kuendelea naye tena
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana nimesema mwanamke mwenye mtoto nnaeweza oa ni yule ambae alikua ameolewa na mumewe bahati mbaya akafariki...(huyu baba alimuoa mama baada ya baba yangu mzazi kufariki,na hiyu baba pia mkewe alikua ashafariki zamani,so walioana waliopoteza wenza)

Kwahiyo mimi nikikuhitaji unioe wakati nina mtoto na baba yake anaishi tu mjini hapa imekula kwangu.
Duhhhh!!!!!....kweli kazi.
Ila kupenda ni kitu kingine Innocizy, waweza kuta penzi na upendo unaoupata toka kwa kigori ni mabaya afadhali hata ungeoa mwenye mtoto am aye ana kidhi vigezo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom