Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

hata mimi siwezi kwanza kama umeweza kuachana na jamaa alf mtoto ukasepa naye hata kwangu uta fanya vivyo hivyo.
 
Kumpata mwenye bikra ni issue ni bora tuchukue hawa hawa ambao wamekimbia kilometer chache make aliyekwsha shusha engine ukisoma kilometer zake ni km laki 3 hivi ..ss mchkue uweke ndani km hajaanza kuchemsha mara kakata feni belt yaan kila siku garage.

kaka umeniacha hoi sana da?!
 
si unaona sasa upo pamoja nasi kuwa mwanamke haachani na mzazi mwenzie ukioa ujue umeongeza idadi ya ama 1.watarajiwa wa magonjwa ya pressure au wafungwa wa murder siku za mbele... ndo maana mwanamke mwenye mtoto wa mtu mwingine kwangu namuogopa kama CCM.

wala sipo pamoja na wew.....nimekuuliza kama swala ni kukumbushia hauoni.kuwa hata mtu.anaweza kukumbushia na ex wake......hata kama hajazaa nae.....
 
hapa single mothers inabidi msidate na wala kwa mama ntilie maana kuolewa hamna ule raha basi uongo
 
Nafikiri hata wanawake wenyewe mnachangia hili suala kwa kiasi kikubwa sana hapa namaanisha Dada zetu na mama zetu.
Nakutolea mfano,shangazi yangu(Dada Wa baba) alipendwa na mjomba na wakaanza kuishi wote kabla ya kufunga ndoa.lakini shangazi yangu alikuwa ameshazaa na mwanamme mwingine.amini husiamini mama mkwe wake na mawifi zake walimchukia sana kisa kwanini kaka yao amemchumbia mwanamke mwenye mtoto.nakumbuka ilibidi yule mtoto Mimi namwita binamu baba yangu amchukue tuishi naye lakini chuki hazikuisha kwa shangazi yangu.

Point mkuu
 
yaa mind set yaani ni bora uwe single kama ushazaa
ila ukizaa umngnganie aliekuzalisha till death do you apart

Ila kwa wewe double standard itahusika....naweza badili maamuzi??? Ndukiii
 
wala sipo pamoja na wew.....nimekuuliza kama swala ni kukumbushia hauoni.kuwa hata mtu.anaweza kukumbushia na ex wake......hata kama hajazaa nae.....

Atakae toa sababu ya kukumbushia ujue hana hoja....aliwazalo mjinga.........
 
Ila kwa wewe double standard itahusika....naweza badili maamuzi??? Ndukiii

hahahahh

mi sasa hivi nimeacha kabisa swal zima la kutoa papuchi
by the way sina mtoto na namtamani sana kwa hamu kubwa kama upo tayari subiri kipindi changu cha kutokugusa gegedo kipite nitakutafuta

ila sina mtoto hata wa kusingiziwa
 
Yaaani wewe ndo haswaaa unaesakwa kabisa.......itunze ije ikutunze.......mnato inamata sana asikwambie mtu
 
Yaaani wewe ndo haswaaa unaesakwa kabisa.......itunze ije ikutunze.......mnato inamata sana asikwambie mtu

le ni siku ya 5 mpaka siku 200 zipite

zimebaki siku 195 kama utasubiri

ila usiwe na mtoto maana kwa coment hapo juu wenye watoto waoane wao kwa wao
 
le ni siku ya 5 mpaka siku 200 zipite

zimebaki siku 195 kama utasubiri

ila usiwe na mtoto maana kwa coment hapo juu wenye watoto waoane wao kwa wao

Nakuongeza na tano zingine zibaki 200...nakusubiri kabisa
 
utaoaje mwanamke aliye kwisha zaa bwana ??. kuoa mwanamke aliyezaa ni sawa na kununua shati la mtumba wakati ya dukani yapo
 
Mkuu hiyo nayo ni case nyingine...Dada amejibu hoja iliyopo mezani na sio hio ulioleta wewe.

Soma vzr ushauri anaoutoa mwishoni,anaweza akatoa ushauri wenye point lkn ukakosa Logic. Kuna watu wana watoto hata kumi, lkn anaitaka ndoa. Furaha ya mtu haikamliki kupitia watoto pekee. Hao ndo wanaodandiaga waume za wenzao bara baran. Tunataka mtu aish kwa kujiheshim. Nashauri wamuombe mungu.
 
binti mmoja nilimuuliza una mtoto akanijibu samahani kaka wewe hata mimba sijawahi kuharibu. lakini baada ya miezi michache akabainika kuwa na mtoto. kuweni wakweki wadada
 
utaoaje mwanamke aliye kwisha zaa bwana ??. kuoa mwanamke aliyezaa ni sawa na kununua shati la mtumba wakati ya dukani yapo

au kuvaa shati la Le mutuz wakati una kamwili chembambaa.
 
Back
Top Bottom