Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Kwa upande wa wanaume lipo hivi
1.Uwezekano wakukutana kimwili na huyo mwenye mtoto ni MDOGO sana kwa sababu wanaume wengi hufanya maamuzi yao wakiwa na busara kuliko wanawake ambao hutawaliwa na hasira.
2.Kuwa na share ya kimaongezi kuhusu malezi huwa ni ndogo na mara nyingi mtoto humfuata mama ake kumsalimia na siyo mama kuja nyumbani kumsalimia mtoto.
3.Uwezekano wakugombea mali haupo zaidi nikulinda na kama ikibidi kugawana wanagawana kwa sababu anatokana na origin ya baba na ana haki zakupata urithi wa baba yake.
4.Mtoto anatokana na damu ya baba,na hapo ndipo tunasema kwa asili anakuwa na tabia za baba ake au ukoo wake,kwa hiyo hata kama akiishi na watoto wengine waliotokana na mama mwingine haina madhara kwa sababu damu ni moja.

Hii imekaa vizuri. Big up mkuu
 
Kwahiyo ambaye hajazaa lakini hana bikra yeye sio la mtumba ila la dukani sio?????? Itakua maduka ya uchina labda.........

Na ambae hajazaa ila ametoa mimba ht kumi huyo ataitwaje?
 
Someni hapa muongeze maarifa.
 

Attachments

  • 1420576503048.jpg
    1420576503048.jpg
    48.7 KB · Views: 357
Sasa kwanini wa kwako uliezaa na mamaafacebook namlea (natania) ila mie niliezaa na TANMO hutaki kumlea?

Ila MO11....hiyo kasumba imepitwa na Wakati, kama unanipend mimi, kwanini uchukie mtoto ulienikuta nae?
Kama ukimchukia mwanangu...jua utanikosa.
Huo ni ubaguzi mkubwa
Habari ya kupitwa na wakati haipo...
 
hapo anaeolewa si mwanamke bali ni chapaa yake! Wanaume wa ukweli haweza kuoa kitu used chenye ushahidi.

maisha yakiwa magumu mbona utaoa tu hayo mambo ya used wala hutayaangalia kwani hata hao wanawake mnao waowa si ni wengi wanapenda chapaa na wala si wewe
 
Mimi ni ke, ila kiukweli wanawake wanaoolewa tayari wana watoto ni wasumbufu mno...halafu huwa wanajisahau sana...nimeishuhudia hii mtaan kwetu hapa kuna nyumba kma tatu hivi matatizo hayaishi na inaonyesha kuna mawasiliano na wanaume waliozaa nao then ni ya utata dizain kama mapenzi yanakuwa yanaendelea hivi, hyo kesi ni ya mmoja kat ya hao watatu. Inshort wanaume hawataki kuwa mabwege na wanalijua hilo ndio maana wanapenda ku start afresh na mwanamke ambaye hajawahi kuzaa wala hana mtoto. Hayo ni maoni yngu tu
 

Bora umeleta hii mada jamani hata mimi nimeshangaa sana nimekuwa nikisumbuliwa sana na mwanaume mwenye watoto rundo huko nje na hajaoa. kinachonishangaza eti anadai hawezi kuoa mwanamke aliyezalishwa tayari wakati yeye tayari ameshazaa nje watoto 3 sasa nikajiuliza kwamba huyo mwanamke atakayeolewa naye sikama atakuwa ni housegirl tu? kama ukiolewa na mwanaume kama huyu halafu unakurupuka kila siku asubuhi kumuandalia breakfast na kumpasia awahi kazini na bado majukumu yanakusubiri ya ndani hivi huoni kama ukiolewa na mwanaume wa hivi inakula kwako? na kama ukikimbilia kuolewa na mwanaume wa jinsi hii kisa unataka ndoa hapo itakula kwako ndoa haitakuwa na faida manake kila uchumi utakaotengeneza watafaidi vimada waliozaa kila mmmoja atataka ada ya mtoto na matumizi na bado watajengewa tena kwa pesa zako sasa hiyo ndoa unafaidi nini hapo kama sio stress machangudoa wake watakuwa wanakufuatilia kila kukicha na msg za kejeli kibao. sasa najiuliza kama mwanaume umeshazaa huko nje na wanawake zaidi ya watatu kwanini usioe mmojawapo kati ya hao? inakuwaje unataka mwanamke smart wa kuoa wakati wewe sio smart? kwa kweli wanaume hii sio sahihi tena wengine mnataka mke utakayemuoa akae na hao watoto halafu bado eti mnatangaza kwamba unatafuta mke. hivi unamdanganya mungu unatafuta mke hujui unachuma dhambi? manake huyo unaetafuta sio mke tena bali unatafuta housegirl wa kuja kulea watoto wa wenzie na kama maisha ndiyo hivi ni bora mtu usiolewe huo ndio ukweli
 
Mimi kwa upande wangu sijawahi ona shida kuwa na mwamamke mwenye mtoto. Yote ni kwa sababu uwezo wa chochote ninao.
 
Nadhani kina kitu hujakiangalia masai dada....kama wanaume tutapenda tukiwa na watoto tuwaoe na mtulelee watoto hao ni kwa sababu tunaamini "baba ana wajibu wa kukaa na mtoto wake na kumlea..kwa kusaidiana na aidha mamake au mwanamke mwingine au peke yake" sasa in that line of thinking ni kwamba mambo yatakuwa hivyo hivyo hata kwa upande wenu..kwamba wale wanaume mliozaa nao wanawajibika kukaa na watoto zao na kuwalea na kuwatunza kwa kusaidiana na watajwa hapo kwenye quotation au wakiwa peke yao...

kila kitu kikienda kwa mtiririko huo hakuna mwanamme atakayetakiwa kulea mtoto wa mwanaume mwenzake...I sincerely hope umenielewa vizuri.

Kitu kingine ni kuwa wanawake huwa mnatumia excuse ya "kumpeleka mtoto kwa babake" "kwenda kukutana na babake kupanga mustabali wa mtoto" "kufuata ada ya shule ya mtoto" na mengineyo kuzini na wale wazazi wenzenu waliowazalisha na kugoma kuishi na nyie
 
Last edited by a moderator:
Wivu tu....nikimuona yule mtoto basi ni 100% ya uhakika kwamba kuna kidume kilipita pale na kuacha "sahihi" yake, bila kusahau zile meeting za kukutana na baba mtoto, daaaah.
 
Kuna kitu cha msingi hapo hujakiweka wazi. Wanawake waliowengi wakileta mtoto kwa mume wanamaanisha mtoto huyo alelewe na mwanaume wake wakati baba wa mtoto yupo.
Wakati mwanaume anapoleta mtoto aliyezaa nje ana maanisha atabeba majukumu ya ulezi yeye mwenyewe.
Tatizo huja pale mwanamke unapolazimisha majukumu kwa mwanaume wako kulea mtoto wa baba mwingine ambaye hatimaye hata Ubin si wake.

Such a great thinker.....
 
Nitaanzia wapi kwa mfano?

Maana yake unaoa mama na watoto/mtoto waje linked with her estranged baby daddies!!How can u manage those complex intertwined relshp lines at once?No way
 
Back
Top Bottom