Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

kumbeeee ndio maana watu wanatoa mimba hadi zifike 50.

anyway liwalo na liwe mwanangu simwachinyuma kisa mwanaume hampendi. mwanaume anaweza kukupenda leo kesho akakuchoka kisa kapata mwingine lakini mwanangu hata nikiwa nao 100 ntawapenda.
 
unaweza ukajilinda lakini ajali zipo.....na ajali anaweza kusababisha mwingine na wew ndiyo ukawa mhanga mkuu....

siku zote nachoamini ni kuomba Mungu.....

Omba mungu halafu uendelee na zinaa uone kama hayo yatawezekana, hata ajali zina vyanzo, unapanda gari ambalo dereva wake unamuona kabisa kuwa amelewa au sio mzoefu halafu unategemea miujiza!!
 
Kwakua waoaji ni sisi, kutunza familia ni sisi..na kwa huruma yenu wamama hamkawii kuendeleza makutano na baba wa mtoto na kugegedana. KWA UJUMLA hatutaki maingiliano yako na baba wa mwanao...nakinachowakutanisha ni mtoto...mtaenda mbali zaidi hadi kwa papuch.

HATUTAKI STRESSS.
 
Omba mungu halafu uendelee na zinaa uone kama hayo yatawezekana, hata ajali zina vyanzo, unapanda gari ambalo dereva wake unamuona kabisa kuwa amelewa au sio mzoefu halafu unategemea miujiza!!

kuomba Mungu ni kwamba akusaidie kuzishinda tamaa za mwili na kukaa mbali na vishawishi......

hivi haujawahi ona mtu amekaa pembeni lakini gari likamfwata........ni uzembe wa dereva lakini maumivu anapata mwingine ......
 
hii kweli ni ngumu kwao kukubali ila sio wote masai dada wengine ni wastaarab sana ambao pia ni wachache mnoo ngoja tusubirie majibu

Mko wengi...sasa kwann namie nisikamate wa kwangu nikafanya mambo mpk nichukue aliyeshafanyiwa mambo??
 
Last edited by a moderator:
Wenzako wengi tu wanaopenda wanafanya hayo, wewe baki na ujuwaji wako tu 40 ilee inakuchungulia ndio mwisho wa kibri.

hapo issue ya kibri na ujuaji inatoka wapi hapo. yaani kusema sijitolei mahari nakujifanyia send off na kugharamia harusi ndo njuaji.
makubwa haya . sio 40 tu hata 99 loooh yote hayo ili iweje ndoa ije ila yandumba na kuhonga bora nibaki tu hivi nyambavu
 
kama hujaoa bado jaribu siku moja kuwaambia dada zako kuwa una mchumba ambaye untarajia kumwoa ila ana mtoto uone respond yao

Hamna lolote, kwani una waolea dada zako? Hilo ni kutokana na kutojiamini. Hebu toa hoja zako binafsi na sio dada au mama kuwasingizia kuwa ndio vikwazo.

Kwa upande wangu, mke mwenye watoto ni sawa ispokuwa Inategemea hao watoto walipatikana njia zipi! Kama njia za kurukiana rukiana tu hapo kikwazo na masuali mengi kichwani.
Lakini kama watoto walipatikana kwa njia sahihi na kiheshima kama kwa ndoa,pili kaachwa au kafiwa na mume hapo naweza kukubaliana na mwanamke. Pia sababu gani ya kuachwa mke huyo au mwanamke huyo? Hapo ndipo utapata jibu sahihi kuwa mwanamke anafaa au hafai.
Watoto hawana makosa wala sio vikwazo tatizo huyo mwanamke, Ndio tatizo kubwa Asije kuwa kazi kukusanya watoto na wanaume tu njiani 😀:what:
Halafu anakuja hapa kulia lia
 
kuomba Mungu ni kwamba akusaidie kuzishinda tamaa za mwili na kukaa mbali na vishawishi......

hivi haujawahi ona mtu amekaa pembeni lakini gari likamfwata........ni uzembe wa dereva lakini maumivu anapata mwingine ......

Hilo ni jambo lililo nje ya uwezo wetu wa kuchagua tofauti na tukio kama linahusiana na mada.
 
Mko wengi...sasa kwann namie nisikamate wa kwangu nikafanya mambo mpk nichukue aliyeshafanyiwa mambo??

mchukue mwenye bikira mkuu.....hawa wengine magumashi........mchukue huyo ili wew ndiyo umfungue ukurasa.......
 
mchukue mwenye bikira mkuu.....hawa wengine magumashi........mchukue huyo ili wew ndiyo umfungue ukurasa.......

Kumpata mwenye bikra ni issue ni bora tuchukue hawa hawa ambao wamekimbia kilometer chache make aliyekwsha shusha engine ukisoma kilometer zake ni km laki 3 hivi ..ss mchkue uweke ndani km hajaanza kuchemsha mara kakata feni belt yaan kila siku garage.
 
Kukaa na mtoto asiye wako ni kuwakosesha watoto wako uhuru wa kufuata uasili/tabia zako baba kwa kuwa muda mwingi baba uokuwa haupo halafu mama anakuwa anawatreat watoto wako kumwabudu mtoto wako wa kufikia kwamba nae sasa asijione kapungukiwa kitu kwenye hii dunia kwa kutelekezwa/kukataliwa na baba yake mzazi.
 
Back
Top Bottom