masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,422
- 19,459
- Thread starter
- #401
Mwanamke mwenye mtoto ni rahisi sana kurudiana na mwenye mtoto kuliko mwanaume mwenye mtoto hiyo ndo hofu yetu kubwa
mkuu una uhakika na hili...like ushashuhudia au ni mindset tu