Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Atakae toa sababu ya kukumbushia ujue hana hoja....aliwazalo mjinga.........

kukumbushia siyo hoja kabisa.....ndiyo maana waswahili wanasema mtalaka hatongozwi.....kwani walikuwa wanamaanisha kwa mtu aliyezaa tu.....hapana......ni kwa mtu yeyote ambae mlishwahi kuwa wapenzi.....kama mkiamua kukumbushia mnakumbushia tu......
 
utaoaje mwanamke aliye kwisha zaa bwana ??. kuoa mwanamke aliyezaa ni sawa na kununua shati la mtumba wakati ya dukani yapo

Kwahiyo ambaye hajazaa lakini hana bikra yeye sio la mtumba ila la dukani sio?????? Itakua maduka ya uchina labda.........
 
Kuna kitu cha msingi hapo hujakiweka wazi. Wanawake waliowengi wakileta mtoto kwa mume wanamaanisha mtoto huyo alelewe na mwanaume wake wakati baba wa mtoto yupo.
Wakati mwanaume anapoleta mtoto aliyezaa nje ana maanisha atabeba majukumu ya ulezi yeye mwenyewe.
Tatizo huja pale mwanamke unapolazimisha majukumu kwa mwanaume wako kulea mtoto wa baba mwingine ambaye hatimaye hata Ubin si wake.
 
Ni swala la ajabu sana ambalo pengine ukilifukiria unaeza ukasikitika.

Ni kawaida sana wanaume kutuambiwa wana watoto hata watatu na wenyewe kuona kawaida sana bila hata kutushawishi kwamba utaishi na mwanangu.

Yaani wao uchukulia kawaida sana sisi kuishi na watoto wao bila kuuliza chochote na wao huona sinkikwazo chochote na pindi utakapokionesha basi unaonekana Mkatili unaonekana wewe sio mke mwema(JAPO KUNA WANAWAKE HUKATAA ) ila sio wengi.

SASA IJE SISI NDO TUNA WATOTO
Wanaume wengi hukataa kuoa mwanamke mwenye mtoto KWA MSISITIZO na hata kama akikubali husema basi mtoto wako akae kwa bibi au baba ake sijui atawajibika na mambo mengi hapo katikati.

SASA SWALI NI JE KWANINI NYIE MNAONA SISI KUKAA NA WATOTO WENU NI RAHISI LAKINI NYINYI KUKAA NA WETU NI ISSUE tena kubwa sana?
Ukiona hivyo ujue kuwa mwanamke aliezaa nae pia kapata mume so kaambiwa mtoto mpeleke kwa baba yake, kama ulivyoambiwa wewe umpeleke mwanao kwa baba yake so just a circle madam, mumeo kaletewa mtoto wake na wako pia mpelekee baba ake.
 
Hamuanishi hivyo unavyosema wewe, mimi nonapoleta mtoto nyumbani nimejiandaa kumuhudumia mwenyewe maana ni jukumu langu, tofauti na mwanamke anapoleta mtoto nyumbani kwa maana nyingine mwanaume wake mpya ndiyo abebe majukumu yote.
Kila mzigo ubebwe na muhusika. Period
 
kukumbushia siyo hoja kabisa.....ndiyo maana waswahili wanasema mtalaka hatongozwi.....kwani walikuwa wanamaanisha kwa mtu aliyezaa tu.....hapana......ni kwa mtu yeyote ambae mlishwahi kuwa wapenzi.....kama mkiamua kukumbushia mnakumbushia tu......

Mkuu kukumbushia inategemea na jinsi mlivyoachana...
 
hahahahh

mi sasa hivi nimeacha kabisa swal zima la kutoa papuchi
by the way sina mtoto na namtamani sana kwa hamu kubwa kama upo tayari subiri kipindi changu cha kutokugusa gegedo kipite nitakutafuta

ila sina mtoto hata wa kusingiziwa

Jameni njooni huku, masai dada anasema hajawahi kuzaa na wala hana ndoto hizo.....
Kitu kipya kabisa kipo kwenye makaratasi
 
Mkuu kukumbushia inategemea na jinsi mlivyoachana...
ndiyo maana nikawa namwambia huyo...siyo sababu eti mmezaa ndiyo mnakumbushia....mnaweza mkawa hamjazaa na mkaamua kukumbushia....
 
Jameni njooni huku, masai dada anasema hajawahi kuzaa na wala hana ndoto hizo.....
Kitu kipya kabisa kipo kwenye makaratasi

nani kakwambia nimezaa?
na wapi nimeandika sina ndoto za kuzaa??

nina mpango huo but not yet.......read between the lines kijana
 
Jameni njooni huku, masai dada anasema hajawahi kuzaa na wala hana ndoto hizo.....
Kitu kipya kabisa kipo kwenye makaratasi

na unaposema kitu kipo kwenye makaratasi unamaanisha nini????
 
mi mwenyewe mwanaume mwenye mtoto ctaki yan nikijua umezaa ndo mwisho wetu. watoto wakambo sometyms stress tupu unakuta mtoto ana tabia za ajab ukinza kumbadilisha ni shiidah! wengne watundu hawashikiki utataman utafute un do buton urenew lyf. ila wapo wengne wapole n ver understanding ila nicchopnda lawama yan chochote unachofanya ndg watasema unamtesa
 
Back
Top Bottom