Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

He hata km ni utafiti hii mada kweli imeconfirm, wanaume ni selfish individuals...

wadau wanasema ukioa mwenye mtoto/watoto imetulia sana kwani ni sawa na kuanza biashara na faida tayari! Sijui mnaionaje hii.
 
kwahiyo huyo utakayemchukua atakaa azae.....mana akizaa tu kilometa zitasoma laki 3......

au huyo unayemchukua ambae anakwambia hajazaa una uwakika gani kama hajazaa......haujui siku hizi watu wanatoa mimba .....una uwakika gani hajatoa mimba.......suluhu la hili mchukue mwenye bikra tu......ila ambae hana unapigwa changa la macho.......

kazi ipo kuna dada jirani yangu kazaa mara 2 watt wamefariki ss mtu kama huyu utajuaje kama aliwahi zaa? au tazizo ni watt walio hai mm hapa kidogo napata wakati mgumu kuwatambua
 
Dah sio wote aise ila kwa upande wangu sija bahatika kukutana na mwanamke mwenye watoto wa nje na ikitokea bas nita wa care kama wanangu wa kuwazaa coz mi mwenyew nimelelewa na baba wa kufikia na nimepewa elimu,malezi sawa bila kuonyesha ubaguzi kwa watoto wote japo alisha fariki lakini nilimueshimu kama baba na baba alie nizaa simjui mpaka leo. So mtu kama mimi sioni kama watoto wa mwanamke ni kipingamizi cha yeye kuishi na mimi na hata kama ana watoto wa 3 nitamshauri awa lete tuishi pamoja coz na wenyewe ni members wa familia.

Mungu akupe maisha marefu.
nimekupenda bureeeee.
 
Anza kumshangaa Diamond kwanza Zari ni sawa na mama yake lakini kila kona wanasifiwa wanapendeza na watu wanajifanya hawajui kama Zari ni mama wa watoto watatu.

Unafki hautakwisha duniani.
Matola hoja ya Dada ni kwann hatukubali kuwaoa wenye watoto(anamaanisha wanaume wengi sio wote)
Diamond anaingia ktk hao wachache wanaooa au kuwa na mahusiano na wanawake wenye watoto au wenye umri mkubwa,still ukweli unabaki pale pale most men hawataki wanawake ambao wameshazalishwa..
So ikitokea wengine wakaona ni sawa bado haibadili kitu.
 
Last edited by a moderator:
kazi ipo kuna dada jirani yangu kazaa mara 2 watt wamefariki ss mtu kama huyu utajuaje kama aliwahi zaa? au tazizo ni watt walio hai mm hapa kidogo napata wakati mgumu kuwatambua

Mkuu kuna mabinti waliolewa wakiwa wameshusha mimba ujanani,ishu ikabumbuluka wakiwa ndoani,hali ilikua balaaa...
 
huwa niliamua kusoma u comment kisha na sepa ila kwa hili nimeamua kuliandikia
kwanza kabisa suala hili limefungana na mila na utamaduni katika jamii , na hili swala kwa tanzania limeiathiri sana kamii yetu kwa asilimia 70. namaanisha kuwa ni wanaume wachache mno ambao ni sawa na 30% wataishi na watoto wa mwanamke aliye muoa, na pia wengiwao itakuwa kwa condition flani flani aidha kama huyo mwanamke huyo baba mwenye mtoto alifariki, au yupo mbali mno na mahali wanapo ishi au huruma nyingine au hali ya uchumi ya mwanamke (mwanamke akiwa anauwezo au ana hisa asilimia 70 zaidi ya mumewe pale ndani.

ok niache hayo nije kwenye swali , ni kwanini sisi wanaume tuna kataa hao watoto au hata muda mwingine tuna kataa hata kuwaoa hao wanawake, the main reason ni wivu,na mostly huu wivu unakuwa katika hali ya kujenga tukio la namna huyu mwanamke alivyo ishi ni huyo mwnaume mpaka kuja kuzaa (hapa namaanisha the whole process esp katika mambo ya kindoa). aidha pointi ingine ni uaminifu, huwa sie waume tunatoa imani kwa mwanamke ambaye alikuja na mtoto kwa kujenga shaka kuwa tunaweza pia letewa watoto wngine ambao sio wetu katika familia, kingine ni kwamba jamii inayotuzunga ayo inachangia katika hilo wanajamii wana dertemine style ya maisha yetu, na wao ndio wanatufanya tuwe health so ukienda kinyume nao utaambulia stress daily na lebel mbali mbali.

my point.mimi kama mwanaume , kwanza na kubali kabisa kuwa kumpata mtoto nje ya ndoa ni kosa, na pia ni vizuri kutubu,lakini pia ningependa kuijuza jamii kuwa yule mtoto huwa anabaki kuwa ni mali au thamani ya mama.hivyo basi kama itaotokea ukamposa mwanamke mwenye mtoto uka muoa ni vyema huyo mwanamke ajue kwamba mtoto wake atamlea je,ila kama mimi mposaji nitajawa na huruma tukawachukua hao watoto ni vizuri tukawajuza kwa busara na hekima ya hali ya juu kwamba wao ni watoto wa mama yao, na wa mpende mama yao, na mama yao ndo mwenye haki juu yao kwa kila kitu.

kwenye views za kimila mnaweza endelea.
kueleza kuhusu kurithi na distributions of social need katika family juu yao.
naona wajomba wamekuwa ndo wahangaikaji sana katika hili esp katika malezi

nafikiri nimejaribu kulifungua swali la huyo mdada muulizaji
 
Mkuu kuna mabinti waliolewa wakiwa wameshusha mimba ujanani,ishu ikabumbuluka wakiwa ndoani,hali ilikua balaaa...

nilimaanisha kumtambua aliezaa watoto wakaonekana akakwambia, yule aliezaa bahati mbaya wakafariki akakuficha ukijua bado msichana, na yule alitoa mimba hivyo hivyo nae akakuficha, hapo utatumia kipimo gani kujua yote hayo?
 
waone wenye watoto kama kiranga alivyosema
Kiranga nimemuelewa hapa tunaongelea mwanamke mwenye mtoto before marriage na sio kwetu tu hata wao pia wanakuwa na watoto kabla.... Na ndio maana nikasema hapo swala ni upendo na kuchukuliana maisha yataenda...

Hii ya kwamba mwenye mtoto aolewe na mwenye mtoto sio solution masai dada
 
Last edited by a moderator:
itara umenena vizuri kabisa.. ndio maana kwenye makabila mengine kama mume umeoa mke ana watoto na unawatunza wewe basi watoto watatambulika kama wako wewe unaewatunza na ikitokea yule mwanaume anataka mtoto wake basi ni lazima akulipe wewe kwanza ndio umpe mtoto yaani kwa maana nyingine analipa mahari kwa ajili ya mtoto(hela uliomtunza toka akiwa kwako). jamani kama nilivyo sema hakuna mwanamke anayependa kubeba mimba na aitunze mwenyewe au asiolewe, basi kama kuna mtu katika ukoo wake au family yake dada yake ajazalisha akaacha au mengineyo basi aanze kutupa maweeeeeeeeeeeeee
 
Binafsi tangu kukua kwangu nilijiapiza kutooa mwanamke asiye bikra kamwe is better I stay single till my last breath sembuse mwenye mototo nafsi yangu imekataa katakata kwa kweli!
 
kazi ipo kuna dada jirani yangu kazaa mara 2 watt wamefariki ss mtu kama huyu utajuaje kama aliwahi zaa? au tazizo ni watt walio hai mm hapa kidogo napata wakati mgumu kuwatambua

ni ngumu haswa.....ndiyo maana nikashauri ili usiingizwe changa la macho bora utafute bikra....mana kuna case nyingi tu.......kama hiyo yako....na nyingine nyingi.....
 
Binafsi tangu kukua kwangu nilijiapiza kutooa mwanamke asiye bikra kamwe is better I stay single till my last breath sembuse mwenye mototo nafsi yangu imekataa katakata kwa kweli!


wew ndiyo umenena.....mwanamke anapaswa kuolewa akiwa na bikra.....

lakini hapo kwenye mototo sijui ulikuwa wamaanisha nini....? jaribu kutumia lugha nzuri mana watoto ni zawadi toka kwa Mungu hata kama huyo mama amezalishwa.....lakini ni viumbe ambavyo vilimpendeza Mungu akavileta duniani.......
 
Kwa kawaida inafahamika mwanaume ndo bread winner.....inakuwa ngumu mtu anajituma kutafuta pesa ili atunze mtoto wa mwanaume mwenzie lakini yeye akiwa na mtoto anachukulia simple kwa sababu pesa anatafuta yeye we mwanamke huwezi kuwa na sauti sana

Daaaaah mada ngumu hii lakini Khantwe umeongea nenooo!!ambalo kwa mtazamo wangu naona linakuja kuja hivii!!?
 
Back
Top Bottom