Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

hekima na busara za wanandoa ndizo zinazofanya ndoa hizo kudumu ama kutodumu.....lakini siyo status......kwamba huyu bikra...huyu kazaa nje....huyu kabila fulani......huyu mbaya......bali ni .....HEKIMA NA BUSARA....

hata mfalme Suleiman aliomba hekima sababu hekima ndiyo chanzo cha mambo mazuri katika maisha yoyote yale ya binadam........

Hizo busara na Hekima sio kwa mwanamke aliyekwisha zalishwa.
 
Kama huyo mtoto baba yake alikufa sawa,nitalea kiroho safi,vinginevyo huyo demu nitamfikiria mara mbili mbili.
 
Hizi comment za humu zinadhihirisha wazi kuwa humu kuna wanaume wanaoendeleza mahusiano na wanawake ambao walizaa nao wakaachana, tena hao wanawake wakiwa kwenye ndoa ndio maana kuna point ya kua watakumbushia.

Wanawake jamani mmeshaolewa, hivi mnachokumbushia nini na mtu ambae mliachana? Ni upumbavu yani mnanikera vibaya mno, mnajidhalilisha wanaenda kuwatangaza.

Na nyie wanaume mmeshaoa mnahangaika na wanawake mliozaa nao mkaachana ili eti kukumbushia, inahusu nini? Hivi ni sifa kuchepuka?
Acheni hizo

Yani mtu anaelea watoto wa kambo kwa hizi comments anazozikuta humu sijui ana hali gani akiwaza kua hawa wazazi 'kukumbushia' ni kama ibada.
Pole mnaelea watoto wa kuletewa.
 
Naomba nikupongeze sana sister kwa kulidadavua hili...at least wewe unaanza nishawishi.....
Wengine naona hawana hoja Bali wanatafta tu kujilinganisha na men...

Hili la kuoa bikra hili ngoja nilitafakari maana si la kujibu juu juu???

ndiyo hvyo muanze kulitafakari hilo......mana mnawaona wakosefu wanawake waliozaa tu ila ambao hawana bikra mnawaona watakatifu........

na pia muanze kuwaogopa wanawake waliotoa mimba.......mtengeneze kizazi kingine kabisa......
 
Hizi comment za humu zinadhihirisha wazi kuwa humu kuna wanaume wanaoendeleza mahusiano na wanawake ambao walizaa nao wakaachana, tena hao wanawake wakiwa kwenye ndoa ndio maana kuna point ya kua watakumbushia.

Wanawake jamani mmeshaolewa, hivi mnachokumbushia nini na mtu ambae mliachana? Ni upumbavu yani mnanikera vibaya mno, mnajidhalilisha wanaenda kuwatangaza.

Na nyie wanaume mmeshaoa mnahangaika na wanawake mliozaa nao mkaachana ili eti kukumbushia, inahusu nini? Hivi ni sifa kuchepuka?
Acheni hizo

Yani mtu anaelea watoto wa kambo kwa hizi comments anazozikuta humu sijui ana hali gani akiwaza kua hawa wazazi 'kukumbushia' ni kama ibada.
Pole mnaelea watoto wa kuletewa.

Hata mm simwelewi mtu akitoa sababu ya kukumbushia.....
 
ndiyo hvyo muanze kulitafakari hilo......mana mnawaona wakosefu wanawake waliozaa tu ila ambao hawana bikra mnawaona watakatifu........

na pia muanze kuwaogopa wanawake waliotoa mimba.......mtengeneze kizazi kingine kabisa......

Kwakweli ni Mara mia ya aliezaa sasa kuliko alietoa mimba....
 
Hiyo hekima inapaswa kuombwa kwamba mwanamke apate mume bora na mwanamme apate mke bora, au tuseme kuwa hakuna kitu kinachoitwa zinaa ambayo ndio chanzo cha hayo yote? kama hekima ndio kitulizo kwa wanandoa kwanini mzalishwe bila kuolewa wakati mnataka kuolewa? au wakati mnakubaliana mlikuwa vichaa?
Kiufupi ni kwamba; kila jambo lina athari zake kutokana na kanuni zinazotawala maisha yetu, kwahiyo akisemacho mleta mada ni matokeo ya kiuziasi kanuni hizo.
Heri ya mwaka mpya sister.

nimem quote huyo aliyesema ndoa nyingi za wanawake waliozalishwa zinavunjika hazidumu.......ndiyo mana nikasema...busara na hekima......nikimaanisha hata hao ambao mnaosema hawajazalishwa ndoa zao pia zinavunjika......

kila mtu ana mapito yake katika hii dunia.....kuna wengine walikubaliana na wenza wao waoane....lakink kutokana na sababu mbalimbali wakajikuta wanatengana na mtoto ameshazaliwa.......
 
Last edited by a moderator:
Mimi nimekuelewa sana lakini hilo la kuoa mwanamke aliyezalishwa na mwanaume mwingine inaonekana ni aibu kwa familia ya mwanaume kama unabisha anza kuchunguza kwa ndugu zako uone wanachukuliaje hili suala hasa wazazi wako wewe.
Vijana hawashikiki wala hawaambiliki yakishawatokea ndio wanakuwa wapole wakati ambapo hakuna nafasi ya kubadilisha ama kufuta historia.
Kwa kuwa wanasema kuwa na BOYFRIEND ndio ujanja na usipokuwa naye unaonekana mshamba au mbaya wacha walie tu maana hakuna anayejali.

kwa maisha ya sasa ni wachache sana ambao hawajihusishi na mapenzi...na ni wachache sana ambao wako tayari kubeba msalaba pale ambapo mambo yamebadilika.......

binafsi mtu ambae anauthamini uhai wa mtu mwingine ambae ni mtoto kwa kutomtoa.....na kumleta duniani pamoja na masimango na fedheha za watu lakini bado yupo tayari kuyabeba yote.....uwa namheshimu sana.....
 
nimem quote huyo aliyesema ndoa nyingi za wanawake waliozalishwa zinavunjika hazidumu.......ndiyo mana nikasema...busara na hekima......nikimaanisha hata hao ambao mnaosema hawajazalishwa ndoa zao pia zinavunjika......

kila mtu ana mapito yake katika hii dunia.....kuna wengine walikubaliana na wenza wao waoane....lakink kutokana na sababu mbalimbali wakajikuta wanatengana na mtoto ameshazaliwa.......

Hayo mambo yapo, ila kwa kuwa heshima ya ndoa imedharauliwa ndio maana yanawatesa wanawake waliozaa kabla ya ndoa, historia ya mtu ni mwalimu mzuri, wapo ambao wamefiwa na waume zao ambao nao wanahitaji wenza wapya, hapa mwanaume anatakiwa ajue ni kwanini huyo mwanamke alizaa nje ya ndoa.
Jambo jema ni kama alivyosema mdau mmoja kuwa mwanamke na mwanaume wenye watoto waliowazaa kabla ya ndoa na wenzi wao wa zamani waoane wenyewe kwa wenyewe na sio mwanamke alizaa kabla ya kuolewa eti aolewe na mwanaume ambaye hajawahi kuwa na mtoto.
 
kwa maisha ya sasa ni wachache sana ambao hawajihusishi na mapenzi...na ni wachache sana ambao wako tayari kubeba msalaba pale ambapo mambo yamebadilika.......

binafsi mtu ambae anauthamini uhai wa mtu mwingine ambae ni mtoto kwa kutomtoa.....na kumleta duniani pamoja na masimango na fedheha za watu lakini bado yupo tayari kuyabeba yote.....uwa namheshimu sana.....

Tunapoambiwa kuwa kuna ukimwi hivyo tujihadhari unaelewa maana yake, wewe kama unategemea mtu mwingine akulinde usiupate wakati yeye ana hamu ya kuonja tunda kutoka kwenye mti wako utaishia kujuta na kujilaumu pale utakapogundua kuwa ameshakuachia ugonjwa, utayaona makosa na upumbavu wako huku ukijaribu kufuta histori lakini haitawezekana.
 
Hayo mambo yapo, ila kwa kuwa heshima ya ndoa imedharauliwa ndio maana yanawatesa wanawake waliozaa kabla ya ndoa, historia ya mtu ni mwalimu mzuri, wapo ambao wamefiwa na waume zao ambao nao wanahitaji wenza wapya, hapa mwanaume anatakiwa ajue ni kwanini huyo mwanamke alizaa nje ya ndoa.
Jambo jema ni kama alivyosema mdau mmoja kuwa mwanamke na mwanaume wenye watoto waliowazaa kabla ya ndoa na wenzi wao wa zamani waoane wenyewe kwa wenyewe na sio mwanamke alizaa kabla ya kuolewa eti aolewe na mwanaume ambaye hajawahi kuwa na mtoto.

hili lingekuwa linawezekana lingefanyika sana.....lakinj mnasahau kuwa mapenzi hayachagui.....

kama haujawahi kumpenda mwanamke aliyezaa basi usishangae mwanaume mwenzio kuwa na mapenzi kwa mwananke aliyezaa......
 
Tunapoambiwa kuwa kuna ukimwi hivyo tujihadhari unaelewa maana yake, wewe kama unategemea mtu mwingine akulinde usiupate wakati yeye ana hamu ya kuonja tunda kutoka kwenye mti wako utaishia kujuta na kujilaumu pale utakapogundua kuwa ameshakuachia ugonjwa, utayaona makosa na upumbavu wako huku ukijaribu kufuta histori lakini haitawezekana.

unaweza ukajilinda lakini ajali zipo.....na ajali anaweza kusababisha mwingine na wew ndiyo ukawa mhanga mkuu....

siku zote nachoamini ni kuomba Mungu.....
 
hili lingekuwa linawezekana lingefanyika sana.....lakinj mnasahau kuwa mapenzi hayachagui.....

kama haujawahi kumpenda mwanamke aliyezaa basi usishangae mwanaume mwenzio kuwa na mapenzi kwa mwananke aliyezaa......

Mimi sijasema kwamba halitokei ila kwa jamii za kiafrika hayo mambo yanachukuliwa kama ni aibu kwa familia ya mwanaume, pia vijana wenyewe hawalipendi hilo ila kuna wakati wanalazimika tu kuoa kwa sababu zisizokuwa wazi, pia mwanamke akiwa na mtoto ambaye si wa mumewe kuna uwezekano mkubwa wa kunyanyaswa ndani ya nyumba kwa sababu hiyo.
 
sasa umlelee mwanaume mwenzio?? hiyo itakuwa ni dharau kubwa mno puuuh!

usitukane mamba wakati haujavuka mto....

mourino alisema inakuwaje timu inafungwa magoli matano......jana kikawatoa timu ya chelsea.....pamoja na kocha mzuri na kikosi lakini kikafungwa magori matano....

nimekupa mfano huu utafakari .....
 
Hii ipo mpaka kwa wanyama. Simba dume akikuta kuna watoto wa Simba dume mwenzake kwenye eneo lake la utawala wake huwamaliza kwa kuwaulia mbali.

Baba wa kambo au mama wa kambo "stories zao" zinajulikana kwa uma. Wachache sana wenye upendo kwa watoto waliowakuta kwa wenzi wao.
 
Mimi sijasema kwamba halitokei ila kwa jamii za kiafrika hayo mambo yanachukuliwa kama ni aibu kwa familia ya mwanaume, pia vijana wenyewe hawalipendi hilo ila kuna wakati wanalazimika tu kuoa kwa sababu zisizokuwa wazi, pia mwanamke akiwa na mtoto ambaye si wa mumewe kuna uwezekano mkubwa wa kunyanyaswa ndani ya nyumba kwa sababu hiyo.

unahisi kwa nini vijana hawalipendi ....?....unyanyasaji unaweza kuwepo kulingana na familia husika.....ila kumbuka tu unyanyasaji unakuwepo hata kwa binti ambae anakosa mtoto......
 
Hii ipo mpaka kwa wanyama. Simba dume akikuta kuna watoto wa Simba dume mwenzake kwenye eneo lake la utawala wake huwamaliza kwa kuwaulia mbali.

Baba wa kambo au mama wa kambo "stories zao" zinajulikana kwa uma. Wachache sana wenye upendo kwa watoto waliowakuta kwa wenzi wao.

unajua kuna kitu Mungu alitupa sisi wanadam ili kututofautisha na wanyama......unaweza kuniambia hicho kitu ni nini.....?
 
Back
Top Bottom