Kwa nini wana Jf wanapenda kutoa ushauri?

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,413
Nimejaribu kuomba ushauri kwenye mablog, forum na mitandao mingine nimekutana na mambo haya:-
A-hupewi ushauri
B-watakuzodoa na kukucheka
C- ama utapewa ushauri usiofaa

Lakini hapa jamvini ni tofauti kabisa, wana respond kwa haraka, utakutana na utitiri wa ushauri na kila unaouangalia utakuvutia, kwa hili linanifanya nifikiri kuwa asilimia kubwa ya wana jf ni walimu, wanafanya kazi za counselling, kutoa ushauri nasaha na wengi wako kwenye ndoa za migogoro, wameacha ama kuachika na wenza wao
 
Nimejaribu kuomba ushauri kwenye mablog/ mitandao mingine nimekutana na mambo haya:-
A-hupewi ushauri
B-watakuzodoa na kukucheka
C- ama utapewa ushauri usiofaa

Lakini hapa jamvini ni tofauti kabisa, wana respond kwa haraka, utakutana na utitiri wa ushauri na kila unaouangalia utakuvutia, kwa hili linanifanya nifikiri kuwa asilimia kubwa ya wana jf ni walimu, wanafanya kazi za counselling, kutoa ushauri nasaha na wengi wako kwenye ndoa za migogoro, wameacha ama kuachika na wenza wao

teh!teh!... Natoa ushauri but sipo ktk hiyo orodha yako.. WALIMU + NDOA.
 
Ushauri sawa. Ila walimu,ndoa,mmmh umetumia methodology gani kupata finding zako?
 
Nimejaribu kuomba ushauri kwenye mablog, forum na mitandao mingine nimekutana na mambo haya:-
A-hupewi ushauri
B-watakuzodoa na kukucheka
C- ama utapewa ushauri usiofaa

Lakini hapa jamvini ni tofauti kabisa, wana respond kwa haraka, utakutana na utitiri wa ushauri na kila unaouangalia utakuvutia, kwa hili linanifanya nifikiri kuwa asilimia kubwa ya wana jf ni walimu, wanafanya kazi za counselling, kutoa ushauri nasaha na wengi wako kwenye ndoa za migogoro, wameacha ama kuachika na wenza wa

hapo kwenye bold tunatafutana ugomvi kwa hiyo walio kwenye ndoa zenye amani hawapo hapa ndani,tunashushiana heshima kwa guest watakaoingia hapa ndani
 
We upo kundi gani?
 
Nimejaribu kuomba ushauri kwenye mablog, forum na mitandao mingine nimekutana na mambo haya:-
A-hupewi ushauri
B-watakuzodoa na kukucheka
C- ama utapewa ushauri usiofaa

Lakini hapa jamvini ni tofauti kabisa, wana respond kwa haraka, utakutana na utitiri wa ushauri na kila unaouangalia utakuvutia, kwa hili linanifanya nifikiri kuwa asilimia kubwa ya wana jf ni walimu, wanafanya kazi za counselling, kutoa ushauri nasaha na wengi wako kwenye ndoa za migogoro, wameacha ama kuachika na wenza wao

Hao wakuzodoa hata hapa walikuwepo, ila wanafyatuliwa, wanarudi huko huko kwenye slum ya kitaira ya kuzodoana. Binadam wengine wanamatatizo kichwani, hivo matatizo yao wanatransfer kwa watu ambao innocent ili vyote muwe na matatizo kichwani kama wao.
Mtu mwenye matatizo kichwani hawezi kumshauri mtu mwenye matatizo, bali wanakuzidishia matatizo.
 
Ushauri sawa. Ila walimu,ndoa,mmmh umetumia methodology fani kupata finding zako?
Methodolgy niliyotumia ni kuwa kuna fact inayosema
mtu aliyepata masaibu kwenye ndoa ndio anakuwa mshauri mzuri sana
 
Nimejaribu kuomba ushauri kwenye mablog, forum na mitandao mingine nimekutana na mambo haya:-
A-hupewi ushauri
B-watakuzodoa na kukucheka
C- ama utapewa ushauri usiofaa

Lakini hapa jamvini ni tofauti kabisa, wana respond kwa haraka, utakutana na utitiri wa ushauri na kila unaouangalia utakuvutia, kwa hili linanifanya nifikiri kuwa asilimia kubwa ya wana jf ni walimu, wanafanya kazi za counselling, kutoa ushauri nasaha na wengi wako kwenye ndoa za migogoro, wameacha ama kuachika na wenza wao

Nyooooo.....muone vile.........nani kaachika........? kwa taarifa yako tunapendwa kama nini.........
 
kuna tofauti kubwa sana kati ya jf na fb.......usijaribu kuilinganisha jf na fb hata siku moja...hasa katika watumiaji......huku wamejaa ma GT
 
Nimejaribu kuomba ushauri kwenye mablog, forum na mitandao mingine nimekutana na mambo haya:-
A-hupewi ushauri
B-watakuzodoa na kukucheka
C- ama utapewa ushauri usiofaa

Lakini hapa jamvini ni tofauti kabisa, wana respond kwa haraka, utakutana na utitiri wa ushauri na kila unaouangalia utakuvutia, kwa hili linanifanya nifikiri kuwa asilimia kubwa ya wana jf ni walimu, wanafanya kazi za counselling, kutoa ushauri nasaha na wengi wako kwenye ndoa za migogoro, wameacha ama kuachika na wenza wao

UmeKOSEA, Boflo WANA JF NI CRITICAL AND GREAT THINKERS, UKIWEKA POST WENGI WAO KAMA HAWANA LA KUSEMA WATAKAA KIMYA ILA KAMA WANA LA KUSEMA WATAKUSHAURI KWA ROHO NZURI. HII NI ELITE/INTELECTUAL CLASS OF OUR TANZANIAN SOCIETY. ,huko kwingine wamejaa wenye akili finyu tofauti na hapa. Ukiwa na akili finyu utaongea tu ili mradi
 
Last edited by a moderator:
Methodolgy niliyotumia ni kuwa kuna fact inayosema
mtu aliyepata masaibu kwenye ndoa ndio anakuwa mshauri mzuri sana

Kuna ukweli kidogo juu ya hilo, kwani si lazima wae ndani ya ndoa tuu hata waliopitia mitikiso kama b\g friend they know hw to advise well
 
Nyooooo.....muone vile.........nani kaachika........? kwa taarifa yako tunapendwa kama nini.........
Nyooo mwenyewe mwana hizaya usokuwa na haya.... Unanionea gere
avatar yangu ninameremeta...nitakupiga ban jumba la bata
cc mwaJ
 
Last edited by a moderator:
Nyooo mwenyewe mwana hizaya usokuwa na haya.... Unanionea gere
avatar yangu ninameremeta...nitakupiga ban jumba la bata
cc mwaJ

muone huko.....uso umekuparama kama t... la bundi........hebu badili hiyo avatar.....inantisha mie.......nashindwa hata kunywa naniihii yangu kwa raha.......alaaaaaa.......
 
mlo.jpg Boflo hembu chamba koo kidogo ndo tuendelee kujadiliana maana naona koo limekukauka.
 
Last edited by a moderator:
saudari huyo samaki ni kibua, umenikumbusha mbali
 
Last edited by a moderator:
Ahaa! Huyo samaki amenkumbusha watu wanaokula ugal kwa picha ya samaki alafu watoto hawajui kwamba samaki anakichwa
 
Ni mahala pazuri sana kwa michango. Pengine ni kwa sababu ni wanajamii, si dhani kama ni kwa hizo sababu zako.
 
Back
Top Bottom