Kwa nini wana Jf wanapenda kutoa ushauri?

Kwa nini wana Jf wanapenda kutoa ushauri?

Nimejaribu kuomba ushauri kwenye mablog, forum na mitandao mingine nimekutana na mambo haya:-
A-hupewi ushauri
B-watakuzodoa na kukucheka
C- ama utapewa ushauri usiofaa


Lakini hapa jamvini ni tofauti kabisa, wana respond kwa haraka, utakutana na utitiri wa ushauri na kila unaouangalia utakuvutia, kwa hili linanifanya nifikiri kuwa asilimia kubwa ya wana jf ni walimu, wanafanya kazi za counselling, kutoa ushauri nasaha na wengi wako kwenye ndoa za migogoro, wameacha ama kuachika na wenza wao

Nafikiri kwenye jukwaa hili watu wana moyo wa kujali na kusaidia wenzao na ndiyo maana hata ikitokea misiba, mtu humjui hakujui lakini anajitahidi kushiriki kwa namna moja au nyingine. Upendo wa namna hii ni mgumu sana kuupata sehemu nyingine.

Hata kitendo cha kuandaa hafla kwa wanajamii kukutana na kufahamiana ni jambo pekee ambalo unaweza kuleta hapa JF na siyo kwenye mitandao mingine. Ziara za kwenda mikoani kusalimiana nalo ni jambo muhimu na la kipekee. Nina mengi ya kusema kuhusu mtandano huu lakini kwa ufupi niseme nimevutiwa sana na JF, na sitarajii kubanduka leo wala kesho!

Big up sana wana JF.

Cheers,

HorseNguvu
 
Nyooo mwenyewe mwana hizaya usokuwa na haya.... Unanionea gere
avatar yangu ninameremeta...nitakupiga ban jumba la bata
cc mwaJ
Boflo avatar gani hiyo? Kwani wewe ni dadake na yle mtetezi wa ccm? Nimemsahau jina ila ana sura ilopakwa chokaa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom