kWA NINI WALIOFERI WAPO C B E?

Huyo jamaa ndo inaelekea ni lile janga la ziro za form four last year sasa kaomba chance kakosa....!! Mburula ww....!!
 
We ni pungu1, watu wanafeli form 4 kwa sababu nyingi nje na uwezo mdg wa academic. Unaposema waliofail unakuwa mpuuzi na mjinga kabsa na ndio mana NACTE wana NATIONAL TECHNICAL AWARDS (NTA) 4 mpk 12 ambapo 4 wanakuwa na D2 na kuqualify kusoma Nta4!

Shukuru Mungu ikiwa ulifauru na usidharau/beza ambao hawakufanikiwa
 
Hivi mtu ukimaliza C B E utajiita msomi? Wakati una D 3 za olev umekomaa mpaka masters! Ndo maana product za c b e ni mbovu sana alafu wengi walioferi ndo wapo pale kwanini? Wasipelekwe wakasome kilimo?
We mchaga huna akili kabisa. Kwa maada hii inaonekana hata div five ulipata kwa shida sana.
 
ukitaka ma.la.Ya wapo C B E,I FM kweli kazi C b E hakuna div 1 au 2 wote ni div 4 na 3 zilizokufa kweli majanja


Pardon...!! Chunguza vizuri, pata jibu sahihi kisha ropoka kisomi... haya rudi nyumbani muulize ma.mako, shangazi yako na dadako wakueleze walivyosoma cbe, ifm then jioni uje humu upaze sauti kua nao ni ma.la.ya....
 
Hongera sana wewe uliefaulu na kumaliza UDSM na first class lakini upo kwenu bush huko mwaka wa 3 mtaani ujielewi elewi unaishije..

Maisha ni zaidi ya kutosoma CBE kijana
 
C B E watu wanasoma au ni sehemu ya kupoteza muda!wengi wanaenda pale baada ya kukata tamaa na elimu
 
Labda anamanisha wamefaulu kwa alama D zikiwa tatu. Kati ya Masomo 7.kwa o.level

Lakini pia si inategemea level ya kozi. Kamq certificate ni sahihi tu. Kilimo ndiyo huwa wanasoma waliofeli kama philipo Mlugo?
 
by the way nijuavyo mimi ukipata alama d ni "pass" kwa hiyo wamefaulu lakini hawakuwa na vigezo vya kuendelea na kidato cha tano, au degree, mbona nchi kama uganda wanaendelea tu, mtoa mada labda una jambo lingine.
 
Vijana pigeni shule acheni kukatisha tamaa watu kwani kuna njia nyingi za kujiendeleza kielimu yaani kama ulishindwa kuendelea na form 5 basi unaanza certificate level then Diploma then Degree (hapa ile certifiate aliyosoma tayari imefuta yale mapungufu ya O level na kumwezesha kuendelea na Diploma then Degree), sasa mtu ambae hajapata maksi za kutosha ili afike juu apite njia zipi labda? na isitoshe vyuo vyote vinasimamiwa na mamlaka halali zilizoundwa na serikali, kumsakama mwanafunzi wa CBE ni kumkatisha tamaa badala yake ni kutoa mapendekezo kwa serikali namna ya kuboresha dosari ulizoziona.

Kama ulifanikiwa ku-clear ukaendelea na masomo moja kwa moja jitahidi uwashauri madogo wakaze ili wafaulu na ikitokea maksi hazijatosha jitahidi kuwapa best option ili nao wawe na elimu ya kueleweka kwani ni heri alieanza CBE kwa kujikongoja ipo siku kitaeleweka kwani university ili u-join kuna taratibu kibao wanaangalia hivyo kama mtu ana nia hata CBE atatoka tu hasa ukizingatia secondary wanafundisha masomo mbalimbali wakati hapo CBE wanakuwa specific
 
Back
Top Bottom