Mfilisiti
JF-Expert Member
- Apr 29, 2020
- 342
- 1,551
Kila mtu kwa itikadi yake naamini Mungu wako anakutetea.
Disclaimer:Ndoa ni muhimu tu kwenye malezi ya watoto,kwamba watoto watakua wakishuhudia malezi namapenzi ya wazazi wote wawili.
Hii mada inavipengele vitatu vyenye a, be na che kama ifuatavyo👇
a) Kwenye ndoa wanawake wengi ni wabinafsi
b)Wanandoa wengi furaha zao wanazipata nje ya ndoa.
c)Ndoa ni Security kwa Mwanamke, na Insecurity kwa Mwanaume
Mfilisiti nipo hapa kukujuza katika kila kipengele fuatana nami

Bible inasema wanawake tuishi nao kwa akili haikukosea,
Nikawaida kukuta Mwanamke ameolewa na Amejenga Nyumba yake na wakati huo mwanaume hajui kabisa, kidume kila siku unajitutumua na kukaza tako kulipa kodi ya nyumba,huku mwenzako ni (Landlord)na anakuzoom tu, sasa maana ya Msaidizi hapo iko wapi????
Nikawaida mwanamke kwenye ndoa kumfanya mwanaume achukie ndugu zake na hata wasiweze kukanyaga kabisa kwake, unasema mfilisiti namaanisha nini? Chunguza familia nyingi unakuta ndugu wa mwanamke wamerundikana sana ila ndugu wa mume unaweza usimwone hata mmoja. na hapo sijazungumzia Limbwata.

Unadhani ukioa ndo utakuwa na uhakika wa kuichapa kila siku? Thubutu!!! hata mwezi unaweza ukapita bila bila.
Nimezisikia sana hizi kauli kwa watu wangu wa karibu wanaonizunguka
"Sijui kwanini nilikuoa"
"Sijui kwanini niliwahi kuoa"
"Kinacho nifanya niendelee kuwa nae ni watoto tu" watu wanajuta kuwa kwenye ndoa.na hii ndo inanifanya kukumbuka huu msemo wa kosea vyote ila usikosee kuoa.
Wanandoa wengi hususani wanaume huchelewa kurudi majumbani maana huko ndani hapakaliki. Je kwanini vijana wasikatae kuoa???
c)Ndoa ni Security kwa Mwanamke, na Insecurity kwa Mwanaume.
Unasema Mfilisiti unamaanisha nini hapa?
Yes ndoa ni Security kwa Mwanamke, jamii ipo upande wake hata akitaka talaka kwa uroho wa mali, anaweza kuzusha tu "Mume wangu anataka kinyume na maumbile" Jamii itamuamini na kumuona mwanaume ni mtu wa hovyo.
Mwanamke ni shariti atunzwe(security)
Mwanamke ni mpokeaji(receiver)
Kila kitu kwenye ndoa kinamlinda mwanamke.
Nini kifanyike??
Cheti cha ndoa kitolewe baada ya wanandoa kukaa pamoja kwa muda usiopungua miaka 15.
Hata Astashahada,Sitashahada na Shahada watu wanzisotea huko kwa miaka ndo wanapewa vyeti, hata kwa ndoa cheti kitolewe vivyo hivyo.
Mwisho kabisaa:Vijana wa kataa ndoa wana hoja wasikilizwe sio kukimbilia kuwa attack sijui ushoga, wakati wanazichakata sana huko mitaani na hao wake walioolewa.
Ukiamua kuoa oa, ila usiwakashifu vijana wa kataa ndoa wanayo hoja.
Mlio oa toeni faida za kuoa vijana wapo wanapitia hapa
Naam,
Mfilisiti .